FULSA COVID-19: Watalii wanakuja tuanzishe utalii wa kupiga ...

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
6,119
2,000
Wakati serikali ikiruhusu ndege kuingia kwenye anga la Tanzania na kutua na kuleta watalii nchini, shirika la ndege la Ethiopia limetoa taarifa kuwa wataanza hivi karibuni kutua hapa nchini.

TUENDELEE:
Watalii wanakuja hivi karibuni na ndege zimejaa mpaka mwezi wa nane, hii ni kitokana na taarifa ya waziri wa sekta ya usafirishaji.
Kutokana na hilo serikali imesema wananchi wanaweza kufanya biashara.

Biashara hizo ni pamoja na kuangalia fulsa ya kupiga nyungu, hii inaweza ikawa fulsa kwetu kuandaa maeneo yenye kuvutia tukawakaribisha watalii kuja kujifukiza a.k.a kupiga nyungu.

Wadau nawasilisha, tusilale fulsa hiyo.
Wazee wa chuga kule Manyara/karatu, mto wa mbu, ngorongoro, Arusha mjini, Kilimanjaro nk
 
NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
3,265
2,000
Wakati serikali ikiruhusu ndege kuingia kwenye anga la Tanzania na kutua na kuleta watalii nchini, shirika la ndege la Ethiopia limetoa taarifa kuwa wataanza hivi karibuni kutua hapa nchini.

TUENDELEE:
Watalii wanakuja hivi karibuni na ndege zimejaa mpaka mwezi wa nane, hii ni kitokana na taarifa ya waziri wa sekta ya usafirishaji.
Kutokana na hilo serikali imesema wananchi wanaweza kufanya biashara.

Biashara hizo ni pamoja na kuangalia fulsa ya kupiga nyungu, hii inaweza ikawa fulsa kwetu kuandaa maeneo yenye kuvutia tukawakaribisha watalii kuja kujifukiza a.k.a kupiga nyungu.

Wadau nawasilisha, tusilale fulsa hiyo.
Wazee wa chuga kule Manyara/karatu, mtonwa mbu, ngorongoro, Arusha mjini, Kilimanjaro nk
think tank.
vijana wenye fikra pevu wapo wengi sana.
shukran sana kwa wazo zuri.
akili kubwa kaka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
avogadro

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
3,942
2,000
Jitu kuubwa......furushi la midevu shavuni na miwani juu. Maana zamani niliamini mtu anayevaa miwani ni msomi....inakuwaje hujui tofauti ya FURSA na FULSA?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom