macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,771
- 39,552
Ni kweli. Ukiona mtu anauliza swali kama hilo ujue hana uwezo wa kununua. Na kama atajikamua sana akilinunua (kwa ujinga) baada ya mwezi atalitelekeza.Mkuu wanunuzi wa haya magari huwa hawaulizi hilo swali.
Nakumbuka watu walipoanza kuingiza magari used kutoka Japan miaka ya mwanzo ni watu wengi waliingia mkenge wa kununua ma-benz na range rover bila kujua kazi si kununua bali kazi ni gharama za uendashaji.
Jamaa yangu alinunua m-benzi wake baada ya mwezi ukamshinda. Ulikuwa unakunywa mafuta kama ngamia anavyomeza maji. Bado spea zake nazo zilikuwa bei juu.