SportsPesa Cup: Yanga 2 - 3 Kariobang Shark

paul green

Member
Jan 16, 2019
18
17
kikosi cha yanga leo vs kariobang shark
muda: saa 10:15
stadium: uwanja wa taifa
chanel: star tv, tbc 1, ss9

kikosi.
1. klaus kindoki
2. paul godfrey
3. gadiel michael
4. andrew vicent
5. kelvin yondan
6. abdala shaibu
7. ibrahim ajibu
8. feisal salum
9. heritier makambo
10. haruna moshi
11. mrisho ngassa

sub
1. ramadhani kabwil
2. juma abdul
3. haji mwinyi
4. papy tshishimbi
5. thaban kamusoko
6. said juma
7. deus kaseke
8. amis tambwe
9. matheo antony
10. ibrahm hamid
11. pius buswita
 
Mie naomba sana Mungu atukutanishe Simba na hawa Vyura
Midomo iishe sio kwa dharau waliyo nayo saivi
tapatalk_1547925226438.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa sisi baba zenu (Yanga) na nyie mikia fc waporipori, ni nani wenye dharau....
Dharau zenu si ndio ziliwaponza mkapigwa 5:0

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣 niliona kuna kajamaa eti kanasema goli za kawaida sana zile. Nikasema Duuh. Goli tano halafu mtu anasema za kawaida ama kweli As Vita si watu wazuri.
 
Back
Top Bottom