FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Mnamlaumu kashindwa kufunga kwani kazi ya yule Goalkeeper ni nini?...ingekuwa Manula kacheza hivyo si mngempongeza?.
Golikipa kazuia shuti moja tu kati ya nafasi tatu za wazi alizozipata.
Nafasi mbili kapiga nje ya Lango akiwa peke yake ndani ya 18.
Nafasi ya mwisho kapiga sawasawa na alivyopiga aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga "Yikpe'
Yaani futi sita yeye na goli, hakuna anayembugudhi kapiga mpira uliokaribia kugusa kubebdela cha kona.
Ndo maana Kocha alimpumzisha na matokeo ya ile Sub wote tumeyaona.

Mugallu lazima ajitathmini.
 
Kama Kamati ya Usajiri inasoma hii mada.
Naomba yule mchezaji wa AS Vita yaani Djuma Shaaban, asajiriwe ktk timu yetu pendwa ya Simba Sports Club.
Kocha wa Simba sc, ampange bamba 9 (tisa)
Nilivyo msoma ana uwezo mkubwa wa Kushambulia kuliko kuzuia kama beki.
Simba SC bado tunakosa mshambuliaji mwenye hadhi ya kiwango cha Simba sc cha sasa.

Kwako CO wa Simba, Ms, Bvravra, mpelekee hili faili langu. Mwenyekiti MO Dewji.
 
Yule mchapakazi Kigwaboy wa Kiingereza kibovu cha.

"Tanzania, the country we want"

Bado anadai Billioni 20 ?

Mwambieni haya mafanikio ya sasa ya Simba Sports Club, yana thamani zaidi ya Bilioni 20.

Tumeisha ifunga timu iliyowekeza raslimali zenye thamani ya zaidi ya Billioni 300 na kuiongoza kwenye kundi.
Al-Ahally ya nchini Misri.

Jambo hili ndo linafanyika kwa mara ya kwanza toka Ulimwengu uumbwe na Mwenyezi Mungu.

Mwambieni abaki kwenye fani yake, na awaachie mpira wenye fani yao.
 
Kama Kamati ya Usajiri inasoma hii mada.
Naomba yule mchezaji wa AS Vita yaani Djuma Shaaban, asajiriwe ktk timu yetu pendwa ya Simba Sports Club.
Kocha wa Simba sc, ampange bamba 9 (tisa)
Nilivyo msoma ana uwezo mkubwa wa Kushambulia kuliko kuzuia kama beki.
Simba SC bado tunakosa mshambuliaji mwenye hadhi ya kiwango cha Simba sc cha sasa.

Kwako CO wa Simba, Ms, Bvravra, mpelekee hili faili langu. Mwenyekiti MO Dewji.
Kwa sasa timu ipo kwenye form, badi hatuhitaji kuongeza wachezaji, wapo vijana wengi wana uwezo na bado wapo bench
 
Tumvumilie, kocha Ana maana yake!! Atakapoanza kufunga dunia itamkoma!! Kocha analea kipaji na ana uhakika malezi haya yatalipa baadaye!! Huo ni ukomavu wa kocha, Kuna vitu adimu ameviona kwa Mugalu!
Hata mm nakuunga mkono.

Kagere mfumo wa kocha bado hajau copy kabisa
Anapata shida sana.
 
Ila inasemekana jamaa anafunga goli 15 kwenye mazoezi kwenye mechi anakosa goli 10 za.wazi cjui tatizo nini anataka kuwakosesha wenzake pesa na cc furaha hivi.hivi
Hii Simba imeimarika sana.
Tofauti ni ile ya msimu ule
Mechi za ugenn tulipata shida sana.
Beki iko imara sanaa.

Mm binafsi sina Shaka na kikosi kinachoanza

Ye ndio anakaa nao mazoezin anawafaham vzur
 
Kama Kamati ya Usajiri inasoma hii mada.
Naomba yule mchezaji wa AS Vita yaani Djuma Shaaban, asajiriwe ktk timu yetu pendwa ya Simba Sports Club.
Kocha wa Simba sc, ampange bamba 9 (tisa)
Nilivyo msoma ana uwezo mkubwa wa Kushambulia kuliko kuzuia kama beki.
Simba SC bado tunakosa mshambuliaji mwenye hadhi ya kiwango cha Simba sc cha sasa.

Kwako CO wa Simba, Ms, Bvravra, mpelekee hili faili langu. Mwenyekiti MO Dewji.
Hivi hiyo hadi sasa ana goli ngapi?
 
Back
Top Bottom