Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Kwa sababu alikuwa hajachoka na bado alikuwa anakipiga kwenye viwango halisi vya Simba na sio viwango vya Manara!

Ndivyo walifundishwa na kocha ili Wazee wapate muda wa kupumzika angalau kwa sekunde kila inapopigwa majalo!! Mipira mifupi inahitaji kasi na kukimbia uwanjani... sasa yule Classmate wa Gavana Mike Sonko angeweza vipi hayo mambo?

Basi tufanye 6-0, Aggregate 6-4! Unaonaje hapo?!

Hivi hakuna Best Loser kwenye haya mambo?!
Utopolo kwenye ubora wake
 
Baada ya Simba kuingia robo fainali,caf championship league ilipoteza mvuto. Sasa hivi imeanza kurejesha heshima yake,ngoja nianze kuifuatilia tena
 
Simba wanalengo lakufika nusu fainali na ikiwezekana fainali lakini pia ni wakati wakutafakari mechi za ugenini zinavyowasumbua. Sikuwa na shaka kuwa mechi ya leo simba angeshinda ila shaka yangu ilikuwa atapata magoli manne au matano? Mechi za ugenini wachezaji huwa wanakosa komfidensi kabisa ni wakati Sasa simba waelekeze nguvu ni jinsi gani wataweza kukabiliana na mechi za ugenini. Group match hata ukifungwa goli kumi itabakia point tatu zmeondoka lakini kwenye hatua ya mtoano timu ikishakuotea magoli mengi away inakuwa na kibarua kigumu kutafuta magoli mengi nyumbani na mpinzani kwa sababu ashafunga magoli mengi nyumbani kazi yake ni kudefence na kupoteza muda
 
Simba wanalengo lakufika nusu fainali na ikiwezekana fainali lakini pia ni wakati wakutafakari mechi za ugenini zinavyowasumbua. Sikuwa na shaka kuwa mechi ya leo simba angeshinda ila shaka yangu ilikuwa atapata magoli manne au matano? Mechi za ugenini wachezawi huwa wanakosa komfidensi kabisa ni wakati Sasa simba waelekeze nguvu ni jinsi gani wataweza kukabiliana na mechi za ugenini.

Mkuu Simba ugenini hawezi kuloga,hiyo ni siri nakufichulia usimwambie mtu. Kwa kifupi uchawi hauvuki bahari,kama unaona nakudanganya muulize Mshana Jr
 
Dawa pekee ni kucheza Mechi nyingi za kirafiki ugenini.

Simba ishakuwa maarufu kwa ivo haitakataliwa na timu kubwa za Afrika kucheza nazo.
 
Muskuru sana mmetoka na tugoli 3 angalau, otherwise huko semi mungeibika kichizi kwa waarabu.. ..yani mngechezea sio chini ya goli 10 na kwendelea.


🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Leo natafuta hata Yanga mmoja nipinge ngumi hata moja nilizike.
Nyie mapaka tu...
20210519_230218.jpg
 
We msengeh kweli, unatia kinyaa, wanaume tumepambania nchi ulimozaliwa wewe mbwah, goli 3 sifuri halafu unaongea nini hapa ..maskini ni maskini tu yan unachukia mafanikio ya simba utabakia umaskini tu
Hahahahaha mkuu mbona kama umetoroka MILEMBE? Povu hili lote la nini wewe MWAJUMA?
TAR 3 JULY TUNAKUNYOA VUZI HILO.....
20210522_152820.jpg
 
Back
Top Bottom