Baraza la Seneti limegundua yafuatayo:
Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini
Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji.
Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka mfano, Balozi Humphrey Polepole.
Tanzania bado inaendelea kumshikilia Mkiti wa Chadema Tundu Lissu kwa mashtaka ya uhaini, na kuwatisha viongozi wengine akiwemo M/Mkiti wa Chadema John Heche.
Tanzania imezuia uhuru wa dini na kuyafungia baadhi ya makanisa ya kikiristo.
Siku na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, vyombo vya ulinzi viliua maelfu ya waandamanaji.
Mapendekezo ya Vikwazo.
1. Viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi, na wa Serikali waliohusika.
2. Watumishi wa serikali, viongozi wa majeshi waliohusika, watumishi wa Tume ya uchaguzi.
3. Wote waliohusika na kuzima mawasiliano (Internet) wakati wa mauaji ya oktoba 29.
4. Yeyote aliyehusika kunyanyasa dini na viongozi wa dini na waliohusika kufungia makanisa.
5. Vikwazo vitaanza kutekelezwa siku 30 hadi 180 baada ya mswada huu kuwa sheria.
6. Inaendelea......
Vikwazo havitahusisha,
1. Misaada ya kibinadamu.
2. Misaada ya Afya na
3. Misaada ya maendeleo ya demokrasia, haki za binadamu, utawala bora, mashirika ya kijamii.
Wanaosema mswaada umelegeza masharti hizo ni propaganda wapuuzeni.
Link ya amendment hii hapa
https://foreign.senate.gov/imo/medi...-a0fd-cdbd622fdecf.pdf?utm_source=chatgpt.com
View attachment 3606824View attachment 3606822View attachment 3606823View attachment 3606825