Full Text Hotuba ya KUB Bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018; Serikali inaogopa nini?

CHADEMA hamko serious...eti kusitishwa kwa safari za nje kumefifiisha demokrasia...wapuuzi sana nyie

Siku zote mnapiga kelele za pesa nyingi kupotea kwa safari za nje kumbe hamjitambui

Hamfai hata kuaminiwa kupewa dola ninyi kwa sababu hata hamjielewi

Ngoja ACT wajiimarishe ..angalau wao wana akili kidogo
 
Wanachekesha kweli Hawa jamaa
 
I accept monetary policy should be eased but i support the way the government is spending nw.
But tatizo la monetary policy ni kuwa haifany kazi vizur katika kipind cha recession.
But is it true kuwa magu amebana matumizi? Is it true kwamba pesa anazo na hazitumii? Hapo ndipo nashindwa kusurpot hoja ya anguko la uchumi. Nachohis ni restructuring of spending yaan pesa zimebadilisha channel.
 
Umeshasema mometary policy haifanyi kazi vizuri. Why asking All those questions then? Nchi za dunia ya tatu zinategemea 'fiscal policy' strategies kwa zaidi ili ziweze kusurvive. So, kama ukibana government spending to thats extent, what do u expect?

Lakini pia kama hio unaitazama kama 'recession' kwa maneno yako... Siion hiyo recovery kwa bajeti moja tu ijayo. Kumbe tatizo ni kubwa kuliko navyofikiria mimi
 
CHADEMA hamko serious...eti kusitishwa kwa safari za nje kumefifiisha demokrasia...wapuuzi sana nyie

Siku zote mnapiga kelele za pesa nyingi kupotea kwa safari za nje kumbe hamjitambui

Hamfai hata kuaminiwa kupewa dola ninyi kwa sababu hata hamjielewi

Ngoja ACT wajiimarishe ..angalau wao wana akili kidogo
Tahira linalojua Ku type that's u
 
Umeshasema mometary policy haifanyi kazi vizuri. Why asking All those questions then? Nchi za dunia ya tatu zinategemea 'fiscal policy' strategies kwa zaidi ili ziweze kusurvive. So, kama ukibana government spending to thats extent, what do u expect?

Lakini pia kama hio unaitazama kama 'recession' kwa maneno yako... Siion hiyo recovery kwa bajeti moja tu ijayo. Kumbe tatizo ni kubwa kuliko navyofikiria mimi
1. Fedha za serikali zirud kwenye fixed deposits.
2. Fedha za umma zirudishe kwenye mabank.
3. Serikali imeongeza mapato ya ndan mpaka kufikia trillion 1.2.

Nadhan hayo matatu ndio visababishi vya hali ya hovyo kwa uchumi.

Ninachokataa ni argument ya kubana matumiz bcz haiwezekan serikali ikabak na pesa while kuna mirad ming ya maendeleo haijapelekewa fedha na fiscal year ndio inaishia.

Kilichofanyika ni kubadilika kwa chanell ambayo fedha za umma zinatoka serikalin na kwa hili serikali imefanya vizur bcz watumishi walikuwa vibaka.pesa hii nachotambua kwa sasa imepangiwa sehemu nyingine.serikali haijabana matumiz but inajaribu kutumia fedha kwa usahihi.
 
Back
Top Bottom