FULL TEXT: HOTUBA ya Kambi ya Upinzani iliyosomwa na Lissu, Katiba na Sheria, yaibua makubwa bungeni

Kwa hotuba hii pamoja na report za tume kamanda Kamuhanda alitakiwa awe ameshavuliwa mkanda hata kabla ya hotuba kuisha,Lakini naamini hata baada ya miaka mingapi kupita kamuhanda lazima aonje kamba(i.e anyongwe mpaka kufa)
 
Tatizo ni kwamba kinana ameshikwa pabaya ombeni ushaidi na sio kulalamika
Hii hotuba ni nzuri sana na ya kisomi.

Msigwa alipaswa kuomba msaada kwa Tundu Lissu ili na yeye aandae hotuba ya kisomi sio ule uchafu alioleta juzi Bungeni.

Hongera Tundu Lissu.

Hoja za Lissu zinahitaji kujibiwa kwa hoja...
 
Namaanisha CHADEMA!Wanafanya vizuri sana siku hadi siku!kila wanalozungumza bungeni ni la KWELI na lenye "USHAHIDI"!Kinyume chake ni CCM Wanaoropoka tu na kutukana!kumbuka suala la Lwakatare!CCM Walikuja na video za ktengenezwa,wao wamekuja na ushahidi,wakawaumbua na kuuwasilisha kwa uma wa watanzania!suala la KINANA baada ya kumtukana sana Msigwa,Msigwa alikuja akawaambia "si muombe ushahidi?"wote wakanywea kwa kujua kwamba wangevuliwa nguo!akaja Tundu Lissu na ushahidi wa CCM kuingilia mchakato wa katiba,wakaishia kutoa udenda tu!anakuja tena Lema,naomba mupokee ushahidi huo na kuuweka wazi then mumuombe msamaha kwa matusi mliyorusha kwake pale alipomtaja Fastjet kama muasisi wa udini tanzania!nyie ni ushahidi gani mliowahi kuleta kuthibitisha uwongo wa CHADEMA?
CCM acheni mipango yenu haramu kwani kila mnaemtuma kuihujumu CHADEMA,Nyie mnaamini ni mwana CCM Kumbe ni Chadema ameogopa tu kuvaa gwanda kuogopa ulaji mnaowapa!hao hao ndo wanaowachoma!si wabunge wenu,polisi au UT kote tuna watu!
Tuamini kipi kati ya HOJA+UTAIFA+UKWELI +USHAHIDI au UWONGO+POROJO+MATUSI+POROJO?
Naipenda sana CHADEMA and i'l die for it!
Peopl.e.e.e.s.s.s.s.s.s..............
 
Kwa hiyo hicho ndicho kinachowapeni homa hadi muanze kumchafua huyu mama kwa minajili ya kisiasa?
Kuja na huo uovu anaousema Lissu hali ya kuwa hakuna kosa lolote ni ushahidi tosha kuwa mmetapatapa kote kutafuta upungufu na makosa ya huyo mama lakini mmegonga ukuta mwisho Lissu akaamua aje na huo anaouita uovu ambao kwa kweli ni kichekesho. Lengo ni kuwateka wale ambao bongo zao zimeshikiliwa na Lissu kwamba zinafikiria vile anavyotaka Lissu zifikirie kwamba kila atakachosema Lissu kwamba ni ovu basi kwenu ni ovu, na atakachosema safi basi kwenu ni safi.
Hakuna uovu wowote alioufanya Dr. Migiro
ameshiriki kuufisadi mchakato wa katiba, hili ni kosa kwa mtu senior kama yeye.

Kama Lissu alisema uwongo mwambie spika wako amwambie atoe ushahidi mbele ya Bunge ili upate na mengine ambayo hayakutajwa kwa sababu za kimaadili.
 
Back
Top Bottom