nani tena huyu kaanza matusi ukikosa hoja kalale utupishe siyo kuanza kutukana hatuko ktk mpira wa mchangani hapa ebo,
halafu kaka usishangae sana maana humu JF kuna wengine wapo kimaslahi zaidi. kila comment na post anayoweka ni kwa maslahi ya kifedha na ndiyo maana wanakimbilia matusi ili kuongeza idadi ya comment maana matusi ni kitu rahisi kutamka kwa watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri