utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
amesifia kuwa ccm ndiyo yenye madiwani wengi hapa nchini
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, atatoa hotuba yake leo kwa saa 1 bungeni, muda si mrefu kutokea sasa! Atazungumza vitu muhimu sana vyenye maslahi kwa Watanzania na taifa.
Afisa Habari a Chadema Tumaini Makene yupo bungeni kutuletea kila litakalojiri.Pia tunatajia Makene atatuwekea hotuba kamili muda sio mrefu.
Pia wabunge wa Chadema wamekwishaonya dhidi ya mbinu yoyote ya kukatisha hotuba ya Mbowe wakati akiunguruma.Tayari kuna hofu kuu upande wa serikali kufuatia hotuba hiyo inayosubiriwa kwa hamu na kila mpenda demokrasia nchini.
chama kipi hicho? chenye magaidi?
magaidi wa chama chake wamemshinda sembuse bunge la nchi
Kamponda waziri mkuu, kwa kushindwa kuwawajibisha mawaziri, kasema serikali ni dhaifu....ijnaunda tume ni nini isichokijua kwenye issue ya Elimu?