full set ya mziki inauzwa kwa bei nafuu.

Pionaire

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
1,595
1,118
Habari wana jf,kama ilivyoandikwa hapo juu,mziki ni wa dukani aina ya fideek original full set sound,sio wa kuchongesha..umetumika miezi nane tu,wenye power speaker za midi 2 na bass 2 za uhakika,wenye buster 2 za watts 3200 na 2800 pia una vyombo vengine kama american audio mixer na box zake special za kufungia mashine yake,mziki huo unafaa kwenye shughuli za maukumbi na matamasha ya mitandao..unauzwa kwa 14mills kwa bei yake ukiwa mpya dukani ni 16mills,Na inaruhusiwa kuuona kabla ya biashara kufanyika...mawasiliano kwa atakayehitaji "0787 061826" na "0767 061826".
 
Anauza subwoofer mpya.. Nadhan haizid 120,000./= kwa picha hawez weka tumsamehe tu, pengine Mangi mwenyewe yumo humu ataiona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom