Full mass nondo

Ndoa

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
1,033
253
Nimemsikia mkuu wa wilaya ya muheza bi subira kwenye taarifa ya itv ya saa 2 akizunguzia suala la watu waliovamia msitu. Kwamba serikali yake itakuwa full mass nondo. Hivi maana yake ni nini?
 
Kutumia maneno kama haya ni uzembe wa viongozi wetu kutumia maneno ya mitaani pasipo mahali pake.
Kwa kiasi kikubwa viongozi wetu wanachangia sana kuharibu kiswahili chetu kwa kutumia maneno yasiyo na maana kama haya. BAKITA nao wapo hoi, hawawezi hata kutoa tamko au kukaripia upotoshwaji wa kiswahili!
 
Back
Top Bottom