Jamani waaungwana naomba kama kuna mtu ana tangazo la "Full funded courses by ministry of external affairs, government of india'' (ni short courses) ambalo limetoka hivi karibuni kwenye magazeti anisaidie tafadhali.Kwani nimeambulia kupata application form ila tangazo lenyewe sijapata ili niweze kujua aina za course na vyuo vinavyotoa hizo course.
Thanks
Thanks