Fulbright scholarship Interview

Hongera sana kaka, ni competitive kiasi chake, jaribu search kwenye mtandao au youtube, utakutana na jamaa walipata au walifanya, itakusaidia. All the best
 
Maswali yao pendwa,

How are you different from the other applicants we've interviewed?
What do you think you can add to the Fulbright cohort?
What is the first thing you would do in your field after returning to Tanzania?
What's one question you wish you were asked if we had more time? "

Jipange na majibu short and to the point mkuu. All the best karibu kwa Trump
 
Shukuruni sana Kaka, Mungu Mwema

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Wadau nimebahatika kuitwa Interview ya hawa jamaa, naomba mwenye uzoefu tafadhali nataka nikaongeze jiwe la Pili kwa Trump.

Hongera sana. Hizo Fulbright Fellowship ni za nini? Kwa nini zilianzishwa? Wewe ushiriki wako kwenye hizo una manufaa gani kwa taifa? jamii? Usiende kwenye intavyuu wakati hukufanya jitihada ya kuelewa vitu vya msingi kama hivyo, hata kama pengine siyo maswali yanayoulizwa. Usisahau kwenda na vyeti orijino, kama mliambiwa mwende navyo. Kama mnaenda intavyuu ubalozini, usisahau kuwahi, na kufuata masharti yote ya usalama.

Kwa kuitwa kwenye Intavyuu, ina maana wewe, na wenzio wote mlioitwa, wote mnaonekana mnafaa kwenda kuchaguliwa. Kwa hiyo, hata ukikosa, usijisikie vibaya, jaribu tena mwakani. Na kisha, zipo skolashipu nyingine nyingi Marekani zaidi ya Fulbright. Nazo usiache kuzichangamkia.

Kwenye intavyuu, be yourself. Feel free. Interviewing panel huwa iko very fair. Don't pretend. Enjoy the experience.

Good Luck!
 
Ahsante sana Chief, umengea maneno mazuri sana,

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Wadau nimebahatika kuitwa Interview ya hawa jamaa, naomba mwenye uzoefu tafadhali nataka nikaongeze jiwe la Pili kwa Trump.

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuu, ni opportunity nzuri sana kwako hiyo mkuu, na nina uhakika kuna vitu utagain kutokana na hiyo interview, bila kujali matokeo yatakavyokua. Ushauri wangu;
1.Soma sana kuhusu the Scholarship scheme itself; ilianza mwaka gani? Ina malengo gani? Mpaka sasa mafanikio yake ni yapi? (Hizi taarifa utazipata from the scholarship's website na/au newsletters au reports).
2.Kumbuka zile essays zako wakati una apply (i hope unazo umezihifadhi somewhere) zipitie na uhakikishe maswali yao kwa interview utakavyojibu yapo CONSISTENT na ulichoandika kwenye essays zako.
3.Soma sana kuhusu kozi na vyuo ambavyo umeombea scholarship... Unazijua modules na contents za kozi yako unayotaka kusoma? Unajua historia ya chuo unachotaka kwenda kusoma? Mambo gani makubwa na/au mazuri chuo chako kimeyafanya kuhusiana na field unayotaka kwenda kusoma (discoveries,research, famous people who studied there,historical facts). Hii iunganishe na "Kwa nini umechagua kozi na chuo ulichochagua"?
4.Kwa nini Marekani?
5.unachotaka kwenda kusoma kitakusaidiaje katika kazi/shughuli zako za sasa? Na pia kitakusaidiaje katika mipango yako ya baadae kwenye taaluma yako? Pia, skills na knowledge utakazozipata zitaisaidiaje taasisi unayofanyia kazi na/au nchi yako?
6. Unachotaka kwenda kusoma kinaendana vipi na mipango ya nchi yako? (Eg policy plans, achievements to certain local and/or international targets)
7.mambo gani umewahi kufanya so far kusaidia maendeleo ya jamii yako? Au kusaidia kutatua changamoto fulani inayoikabili jamii yako?
8.Una uzoefu gani katika masuala ya uongozi? (Hapa jikite zaidi katika kuelezea namna ulivyotumia nafasi zako za kiuongozi kutatua changamoto fulani na matokeo uliyopata)
9.What do you bring to the Scholarship scheme? Hapa ujiandae kujibu ni vitu gani fullbright scholarship watafaidika kwa kukuchagua wewe (eg sharing of unique Tanzanian culture and teaching swahili language to fellow fullbrighters, i will use my extensive presence in social media to promote Fullbright scholarships and encourage my followers to apply, etc, etc).
10. How can the impact that you will bring to your career/your insitution/your country post graduation be measured?
11. La mwisho, japokua kiumuhimu hili ndo ilibidi liwe la kwanza... Be as specific as possible to the minute details unapokua unajibu maswali, and hit the point directly bila kuzunguka sana; Pia usije ukatoa majibu very general au non specific... hapo utafeli. Eg unaulizwa how will this scholarship help ur career? Hapo inabidi ujibu specifically skills na knoweldge gani utakazogain kwenye masomo yako,na zitakusaidiaje kwenye career yako; na sio ujibu kiujumla jumla tu.
Kiufupi ni hayo ambayo nimekumbuka haraka haraka; nikipata points zaidi nitaongezea.
ALL THE BEST. Bradson
 
Shukurani sana Kaka, nimejitahid sana kadri ya uwezo wangu kujiandaaa, bahati mbaya naona sjabahatika kupata. Nmekutana na

Dear Fulbright Program Applicant,

This year the Fulbright Foreign Student Program received and reviewed a high number of quality applications. After a careful review of all shortlisted applicants, we regret to inform you that your application was not successful. I highly encourage you to re-apply next year when we announce a new application cycle.

Wishing you the best in your future endeavors.

Usikate tamaa.

Mimi nilipoaplai mwaka wa kwanza hata kujibiwa nimekosa sikumbuki kujibiwa.
Mwaka wa pili nikaaplai tena, nikafikia hatua karibu sawa na yako, nikakosa.
Mwaka wa tatu, nikaaplai tena, nikapata.

Mradi umeweza kufikia hatua ya intavyuu, usikate tamaa. Halafu pia Marekani fursa ziko nyingi. Kupitia hapohapo ubalozini, unaweza kufahamu skolashipu lukuki unazoweza kuziaplai moja kwa moja Marekani.
 
Ahsante sana kaka, umenitia moyo sana

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Shukurani sana Kaka, nimejitahid sana kadri ya uwezo wangu kujiandaaa, bahati mbaya naona sjabahatika kupata. Nmekutana na

Dear Fulbright Program Applicant,

This year the Fulbright Foreign Student Program received and reviewed a high number of quality applications. After a careful review of all shortlisted applicants, we regret to inform you that your application was not successful. I highly encourage you to re-apply next year when we announce a new application cycle.

Wishing you the best in your future endeavors.

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Ahsante sana kaka, umenitia moyo sana

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Oyaa, mwaka huu umeapply?
 
Back
Top Bottom