Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,516
- 1,404
Kamanda TUNTEMEKE, endelea kutupa data wewe ndio tegemeo letu sisi wanyonge.
Unafiki at its highest stage!
Kamanda TUNTEMEKE, endelea kutupa data wewe ndio tegemeo letu sisi wanyonge.
Hadi hapo sina sababu ya kuamini chochote unachoandika hapa kwani unajitahidi sana kuungaunga vistory na kuvichanganya na vitu ambavyo viko obvious ili uwakamate wale wasiotumia vizuri bongo zao kuchambua mambo.
Mimi ni mtu mwenye shughuli zangu zinazoniweka mjini, baadhi ya wanaJF tuliopata kufahamiana beyond keyboards wanalijua hili. Na zaidi ya yote mimi ninajitolea kukiwezesha chama kutekeleza majukumu yake ya kisiasa jimboni Ukonga ambapo ndiko makazi yangu yalipo kwa sasa, kwahiyo huyu tuntemeke amedhihirisha hapa pasipo shaka kwamba habari anazotuletea hapa huwa anajitungia tu na kuzileta hapa kwa malengo anayoyajua mwenyewe.
Nilishawahi kusema hili na leo narudia tena kwa faida ya wanaJF wote; kwanza mimi si afisa ama mtumishi wa Chadema makao makuu kama anavyopotosha hapa TUNTEMEKE bali mimi ni mwanachama imara na mwaminifu wa Chadema. Pili, mimi si mkazi wa Tarime (kwa maana ya origin)bali uwanja wangu wa nyumbani ni wilaya ya Serengeti, na kama nikifikiria kuwania ubunge basi jimbo la Serengeti ndipo mahali muafaka kwangu kujitupa ulingoni.
lazima utafakari kwa kina kabla hujachangia kwa maana unaonekana wewe ni kama aliyeandika huu mpashoMkuu mie utanionea bure mleta huu uzi ndio kasema mengi.
Uwezi jua isije kuwa mama ndie alieleta shindikizo Dr akalishaiwi baraza na likafanya kweli.Usiahau panapofuka moshi ujue kuna moto
Mama Josephine ana hisa JF nini?
Mbona akitajwa watu wanakula BAN?
Huu ndio unafki tunaokataa hapa, wewe umemtaja hapo nani amekupiga ban!? watu sijui mkoje.Mama Josephine ana hisa JF nini?
Mbona akitajwa watu wanakula BAN?
Kama ni kushawishi hiyo ni issue nyingine,na siwezi kumlaumi aliyeshawishi bali lawama zangu nazipeleka kwa aliyeshawishiwa na kushindwa kujua lipi ni jema na lipi ni baya!!!
Akili ndogo hizi haziwezi kuongoza akili kubwa, usivamie jukwaa kwa pupa kama unapenda kuwa moderator sema tukwambie na tukupe know how, yuko Members mwenzetu alikuwa ni Member kama wewe sasa hivi ni Moderator, sasa Josephine awe moderator kivipi halafu ajifiche? hizi ni akili za ubongo wa kuku hapa siyo siyo Facebook Groups mnapopeana kiholela Uadmins.Nimewai kumsoma member mmoja humu humu ndani, alisema kwa namna moja ama nyingine ni miongoni mwa mamod's.ila sina uhakika za kuambiwa changanya na zako.
Ghost Ryder acha pumba zako. Eti CDM kupata ubunge Mwanza 2015 itakuwa mbinde? Nimetoka Mwanza last week, Wenje anakubalika kuliko Lema Arusha mjini. Anapaki Toyota Landcruizer anatembelea vijiwe vyote kwa mguu na kuacha wekundu wa soda na kahawa. Yaani Mama lishe na wajasiriya mali wanamwona kama Mesaya wao. Kaka no research, no right to talk/comment. Kalagabaho Best
Mama Josephine ana hisa JF nini?
Mbona akitajwa watu wanakula BAN?
lazima utafakari kwa kina kabla hujachangia kwa maana unaonekana wewe ni kama aliyeandika huu mpasho
Kuwa makini kwa muhtasar tu CDM si mumebwege kinaongozwa kwa kanuni na taratibu zake acheni kutunga stori za kitoto na mawazo mgando ntawatia ndimu mimi
Huu ndio unafki tunaokataa hapa, wewe umemtaja hapo nani amekupiga ban!? watu sijui mkoje.
Nimewai kumsoma member mmoja humu humu ndani, alisema kwa namna moja ama nyingine ni miongoni mwa mamod's.ila sina uhakika za kuambiwa changanya na zako.