Fukuto linaloendelea huko Mashariki ya Kati

kianja kyamutwara

JF-Expert Member
Nov 4, 2020
200
206
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimekua nikifuatilia kwa mda mzozo uliopo Mashariki ya Kati yaani Israel na Palestina, nimegundua inawezekana ikawa kweli Israel ni taifa teule kama wanavojinasibu kwa sababu zifuatazo:

Ukisoma historia tangu kuasisiwa kwa taifa hili miaka ya 1948s mwaka mmoja tu baada ya kuasisiwa vita ilianza ila hakua vita hata moja isirael alishawai kushindwa.

Pili, kama ujuavyo waarabu walivyo na umoja mataifa makubwa yote kama irani falume za Kiarabu n.k bila shaka wapo nyuma ya Palestina ila hawajaweza kusaidia kitu chochote.

Tatu, nimeona uwezo ambao wameuonesha katika mitambo ya kujilinda ambayo inafanya parestina waonekane kama wanachezea udongo nimeona mfululizo wa makombora yaliyokua yakivurumishwa toka Palestina ila yaliambulia kua majivu tu, lakini isiraeli inatoa taarifa yakua muda fulani hameni eneo flani tunakuja kushusha jengo flani na wanatekereza, kwa maelezo mafupi itoshe kusema isirael ni taifa teule na parestina kwa kutambua hilo hawana budi kusarenda na kukubali kua chini ya Israel.

NINAKARIBISHA MAONI NA MITIZAMO YAWEZA KUA NINACHOKIFIKIRI SI KWELI ASANTE NA JUMA PILI NJEMA.
 
Yaani kama shule zetu zinafundisha uandishi huu tumepigwa falme za kiarabu. Makosa kibao, tunajua kuna matatizo ya kuongea kama mtu mwenye kithethe na kuongea L kuchanganya na R ni sahihi ila siyo kuandika. Kuna umuhimu wa kubadilisha hii mitaala ya elimu kabisa eti parestina ndiyo Palestina.
 
Hata wewe unamapungufu yako kikubwa ameeleweka acha ujuaji
 
Yaani kama shule zetu zinafundisha uandishi huu tumepigwa falme za kiarabu. Makosa kibao, tunajua kuna matatizo ya kuongea kama mtu mwenye kithethe na kuongea L kuchanganya na R ni sahihi ila siyo kuandika. Kuna umuhimu wa kubadilisha hii mitaala ya elimu kabisa eti parestina ndiyo Palestina.
Umejikuta nani vile?
 
Back
Top Bottom