Fujo na kutumia ugonvi kama kuzomea ndiyo silaha peke yake kwa asiye na hoja ama mkosaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fujo na kutumia ugonvi kama kuzomea ndiyo silaha peke yake kwa asiye na hoja ama mkosaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbugi, Apr 8, 2011.

 1. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Ni kawaida kwa mtu yeyote mkosaji ama asiye na hoja wakati wote kutumia nguvu fujo na vurugu huku akilia kwa kuomba msaada wa kuonewa huruma. dhana hii ikiachwa iendelee na watu kuona mtu huyo anaonewa basi mwenye haki ni hakika atapoteza haki yake. kumbuka "violent is the only weapons of the weak person"
   
Loading...