Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Magari yanafungwa ving'amuzi yajulikane popote yanapokwenda.Habari zenu wakuu. Ni tumaiji langu hamjambo. Napenda nijuzwe,yeyote anayefahamu njia za kudhibiti wizi wa mafuta kwenye magari makubwa,naomba anielekeze inavokuwa.
Natanguliza shukrani
Unafunga Chines, Omnicom au Triton?Habari mkuu GPS Car Track and Fuel Monitoring tunafunga na utaweza kujua kiwango cha mafuta kilichopo ndani ya tank utapata fuel consuption na fuel filling and theft notification kwa email na app yetu. Tumeshafunga baadhi ya kampuni hapa dar zenye malori ya kwenda zambia na kongo na hawa wa kokoto lugoba nime attach picha ya muonekano wa mobile app ukihitaji zaidi bei na sample ya report nipatie contacts zako. AhsanteView attachment 969841View attachment 969842
Walipe vizuri madereva wako, hiyo habari ya fuel theft itaisha, Unampa mtu gari la mamilioni hafu haumjali ndo matokeo yake hayo.Habari zenu wakuu. Ni tumaiji langu hamjambo. Napenda nijuzwe,yeyote anayefahamu njia za kudhibiti wizi wa mafuta kwenye magari makubwa,naomba anielekeze inavokuwa.
Natanguliza shukrani
Mwizi ni mwizi tu,hata gari umkabidhi na documents zake,kama ni tabia yake atajiibia na yeye mwenyeweWalipe vizuri madereva wako, hiyo habari ya fuel theft itaisha, Unampa mtu gari la mamilioni hafu haumjali ndo matokeo yake hayo.
Natumia product za Russia device na sensors.Unafunga Chines, Omnicom au Triton?
Umesha wahi kufunga fuel sender na kufanya calibration?? Vp performance yake na efficiencyNatumia product za Russia device na sensors.
Nimefunga sana huu ni mwaka wa 3 natumia hizi sensor performance yake ni nzuri sana. Tazama picha hiyo baada ya calibrationUmesha wahi kufunga fuel sender na kufanya calibration?? Vp performance yake na efficiency
Vizuri. But namaanisha kutumia fuel sensor ya gari na sio kuweka artificial. Ili kupunguza gharama za kununua sensor na kutoboa TankNimefunga sana huu ni mwaka wa 3 natumia hizi sensor performance yake ni nzuri sana. Tazama picha hiyo baada ya calibrationView attachment 970171
Hizo za kutumia gauge situmii not accurate wateja nishakutana nao waliofungiwa hizo wanasoma fuel kwa graph na sio kwa litres. So nimefunga zangu na wana enjoy. Kutumie gauge ni kupiteza pesa bora uache tu maana mafuta yataibiwa tu ila fuel sensor ni kibokoVizuri. But namaanisha kutumia fuel sensor ya gari na sio kuweka artificial. Ili kupunguza gharama za kununua sensor na kutoboa Tank
Sasa kwenye matank madogo unafanyaje. Unakata sensor au? Na kwenye Double fuel tanks pia unafunga vipi?Hizo za kutumia gauge situmii not accurate wateja nishakutana nao waliofungiwa hizo wanasoma fuel kwa graph na sio kwa litres. So nimefunga zangu na wana enjoy. Kutumie gauge ni kupiteza pesa bora uache tu maana mafuta yataibiwa tu ila fuel sensor ni kiboko
Kwenye matank madogo tunapunguza tulifunga kwenye costa ya tank ya lita 100. Kwa gari zenye tank mbili tunafungwa kwenye main then tunakata auto so akitaka kutoa mafuta kwenye reserve kwenda maina lazima asimame then atumie pipe au koki kufungua. Ya tank mbili nazi tumeshafunga zaidi ya kumi ziko poa tu.Sasa kwenye matank madogo unafanyaje. Unakata sensor au? Na kwenye Double fuel tanks pia unafunga vipi?