Fuel consumption ya nissan xtrail

Mr DIY

JF-Expert Member
Dec 24, 2016
1,108
2,312
Baada ya kuishi na bby walker miaka kadhaa sasa nmeamua kupata gari ya offroad na safar kwa budget yangu naona nissan xtrail itanifaa sana, kwa mwenye experience nayo hasa katika fuel consumptions anisaidie
 
Shida ya hizi gari ni overheating tu
Other wise fuel consumption Sio kubwa saana inategemea na uendeshaji wako
Ila ukipitiliza muda wa service hapo ndio itakusumbua
All the best mkuu
From baby walker to xtrail
 
Shukran chief, sababu kuu ya overheating huwa nini hasa?
 
Mkuu hiyo overheating inasababishwa na nini kitaalam.
 
Shukran chief, sababu kuu ya overheating huwa nini hasa?
Mara nyingi mfuniko wa radiator unaharibika spring na kishindwa kirudisha maji yaliyo kwenda kwenye reserve tank. Hapo ndo ubaya unapoanzia. Unashauliwa kungalia maji na usalama wa mfuniko wenyewe
 
Mara nyingi mfuniko wa radiator unaharibika spring na kishindwa kirudisha maji yaliyo kwenda kwenye reserve tank. Hapo ndo ubaya unapoanzia. Unashauliwa kungalia maji na usalama wa mfuniko wenyewe
Kiutaalamu hutakiwi kutumia maji kupoozea engine maana boiling point ya maji ni 100 degrees na operating temparature ya gari ni 95 degrees hivyo unashauriwa kutumia coolant ambayo boiling point yake ni around 180 degrees hadi 200 degrees pia kutumia maji kunaleta corrosion na complications zingine
 
Back
Top Bottom