Fuatilia Tamthilia ya "Siri za Familia" Msimu wa Kwanza YOUTUBE "JASONS TV"

Jul 14, 2008
1,820
1,031
Sasa Unaweza kufuatilia Msimu wote wa Kwanza wa Tamthilia Pendwa ya "SIRI ZA FAMILIA" katika Channel ya "JASONS TV" YOUTUBE. Kwa Kuanzia angalia hizi Episodes chache:





 
Hakika sisi siyo Producer wa Tamthilia hiyo. Ni Waandaaji wa Siri za familia; Michakato; Maisha ya Bongo na Baadhi ya Filamu. Unaweza pia tufuatilia Channel ya JTV CINEMA Ting au Channel ya Bongo Cinema ZUKU
Mkuu, Bongo sinema na JTV cinema ni channel mbili tofauti?
Naifahamu Bongo sinema
 
Sasa Unaweza kufuatilia Msimu wote wa Kwanza wa Tamthilia Pendwa ya "SIRI ZA FAMILIA" katika Channel ya "JASONS TV" YOUTUBE. Kwa Kuanzia angalia hizi Episodes chache:






Kwa maoni yangu, a deserving farewell kwa member wetu yoyote, aliyetangulia mbele ya haki ni kumuaga kupitia maandishi yake, threads zake ili kujikumbusha mawazo yake, maneno yake na matendo yake tukiendelea kuishi Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs!

RIP Comred Santus Mtsimbe, maandishi yako humu JF, yatakuishi milele!.

Umepigana vita vilivyo Vitakatifu,
Mwendo Umeumaliza, Imani umeilinda.

Bwana Ameleta, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.

Paskali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom