Elections 2010 Fuatilia matukio katika link hii

dkn

Senior Member
Oct 7, 2010
139
42
SOURCE: Uchaguzi Tanzania ......VERIFIED report

Katika jimbo la uchaguzi Tarime kuna nyongeza ya wapiga kura ambayo imetolewa na msimamizi wa uchaguzi wa jimbo.Kati ya maelekezo yaliyomo kwenye barua hiyo ni kwamba hata wale wapiga kura ambao namba zao zimetofautiana na daftari la kujiandikisha waruhusiwe kupiga kura,pia hata kama vitambulisho vyao havina picha waruhusiwe kupiga kura pia.

MBONA HII INATOKEA KWENYE MAJIMBO AMBAYO UPINZANI INAONEKANA KUWA NA NGUVU, MIMI NAONA CCM NA TUME YA UCHAGUZI NI KITU KIMOJA...TUTALIA NAO MPAKA KIELEWEKE NA VURUGU KIDOGO TU AU UDANGANYIFU INTERNATIONAL COMMUNITY IKO NA SISI...CHAGUA DR. SLAA

CLICK: Please read this report
 
Wasimamizi wanaoigopa kuendewa na sime kesho. Unakumbuka by election ya mwaka juzi? Hata wale ambao hawakuona majina yao waliruhusiwa kupiga kura!
 
Uchaguzi Tanzania
UCHAGUZI, TZ is a platform that leverages on USHAHIDI's web and mobile-based technology software, enabling unprecedented collaboration between election observers and citizens to monitor elections in near-real time. UCHAGUZI is a collaborative initiative between TACCEO, Tanzania; HIVOS , Netherlands; Haki Elimu , Tanzania; Jamii Forums, Tanzania; TWAWEZA , CRECO, Kenya in association with USHAHIDI and SODNET, Kenya as technology & strategy partner
 
Mzigo umekuwa mzito. Invisible anasema itatulia muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom