Fuata steps hizi uirudishe star t.v kwenye startimes

Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi... Ila kuchakachua haiwezekani kwa Startimes...

mpenda pombe hizi channel hazijachakachuliwa kutoka startimes! Kama unavyosisitiza kuchakachua startimes haiwezekani. Channel hizi ni signal kutoka source nyingine nje ya sartimes. Ni mwingiliano wa frequency tu. Ndio maana channel zingine zinajirudia kama channel 10, eatv,tbc1,nk.
 
wadau mi niko chalinze na king'amuzi changu ni OK2. Leo kimekata hebu nipeni mbinu.

Ufafanue vizuri hakipati power, channel hazionyeshi,au nini? Na je, imetokea tu au ulikuwa unafanya nini ndio kikakorofisha?
 
Ufafanue vizuri hakipati
power, channel hazionyeshi,au nini? Na je, imetokea tu au ulikuwa
unafanya nini ndio kikakorofisha?

king'amuzi hakina tatizo lolote. ila kifurushi kimeisha. nataka frequency nitumie nichakachue nione channel zakulipia free. niko maeneo ya chalinze. msaada plz
 
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi... Ila kuchakachua haiwezekani kwa Startimes...

kuchakachulika inawezekana tena sana tu watu wanawachakachua microsoft na dstv itashindikana kwa *times,ila kwa sababu huna polite language na hujauliza swali its like umetoa statement tu ngoja tukuwache hivyohivyo.
 
HAYA Mndengereko KWA POLITE LANGUAGE NAOMBA UNISAIDIE MIMI. NIKO CHALINZE NAHITAJI KUCHAKACHUA SIGNAL WANASEMA INAGOMA, MBONA ZA STARTIMES ZA KULIPIA ZINAONEKANA BILA MATATIZO WALA KUSCRATCH AU UKILIPIA SIGNAL INABADILIKA? NIMEJARIBU NAMBA ZOTE HAPO JUU ZIMEGOMA. HELP PLEASE
 
Signal ya standard channels za startimes ni tofauti na signal ya hizo za ziada zenye star tv. Utakuta za startimes ni 46% kwa mfano, lakini hizo zingine iko 18%. Na pia hata antenna setting unakuta inabidi ubadilishe kila unaposwitch channel package kati ya hizo za startimes na hizo nyingine ili signal iwe nzuri. Mara kwa mara unakuta list yenye startimes haionyeshi inaandika 'no service' wakati huo huo hiyo standard package ya startimes inapiga mzigo kama kawaida.
 
Back
Top Bottom