jaribu ila sina uhakika click SUBTITLE kwenye remote yako alafu exit, itatoka
Nimejaribu zote! hakuna chochote
Ni kitu kisichowezekana hapa tunadanganywa tuu. Hii system ni sawa na kuweka cd kwenye deck au ni sawa na simu unavyotumia line ya voda huwezi kuifanya hiyo line kuwa ya tigo na ndio maana wanatumia smart card ili kunasa tuu vitu ambavyo huyo provider ameviweka.tuache kudanganyana.ingekuwa ungo sawa lkn kwenye visimbuzi thubutu?
mbna mi sipati na niko Arusha,au inahusu huko mlipo ninyi 2.hakuna cha 053,530,531 zote ni 0 chanel
jaribu kuweka 531,ikishindikana weka 530.
Ili kupata star tv kwa star times tena unakwenda menu.halafu chini kuna system setting unabonyeza ok then inakuja channel search then inakuja manual search mbele kuna namba 451unabonya namba 053 halafu okay inakua in search and unapata star tv na channel nyingine.
Thx mkuu nimeipata naenjoy nw.