Fuata steps hizi uirudishe star t.v kwenye startimes

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,280
3,345
Ili kupata star tv kwa star times tena unakwenda menu.halafu chini kuna system setting unabonyeza ok then inakuja channel search then inakuja manual search mbele kuna namba 451unabonya namba 053 halafu okay inakua in search and unapata star tv na channel nyingine.
 
mkuu hakuna kitu. nimejaribu no new channel found nakuomba uendelee vizuri na utafiti ili utusaidie sisi mambumbumbu wa IT
 
mkuu mi natumia zuku kuna maujanja ili niweza kuipata itv na star tv?
 
wote mnabahatisha hamzijui frequency halisi mimi nilizonazo nikisearch napata channel nyingi za maana bila kulipia, hizo 530 na 531 zimebadilishwa tangu zamani
 
hizo mimi nimetoa kulingana na maelezo official ya wenyewe star t.v
 
Channel nying za maana kama zipi? Mimi nipo Moshi lakini hakuna kitu kama hicho,nimejaribu sana.Au kuna kitu nakosea mahali?

Mkuu kwa hiyo hata wewe hujajaribu kwanza ukaona kama inakubali,au?!
 
mimi natumia dstv nimeikuta hiyo mahali niakona niweke hapo itawasidia wanaohitaji,kama wewe unajua njia nyingine weka hapo uwasaidie wanaohitaji hamna haja ya kuanza kuargue..
 
wote mnabahatisha hamzijui frequency halisi mimi nilizonazo nikisearch napata channel nyingi za maana bila kulipia, hizo 530 na 531 zimebadilishwa tangu zamani

toka hapa, kama huwezi kushea usilete mbwembwe za ajabu. uo ni upuuzi, watu kama nyie mnaboa sana
 
wakuu big up kwa wote waliotoa hizo frequencies! Na mimi naongeza moja niliyoipata ambayo unapata mpaka radio channels. Ni 490
 
Back
Top Bottom