Fuata njia hii kuripoti namba inatumika kwenye utapeli

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
18,124
2,000
Habari zenu.
Zifuatazo ni njia za kuripoti namba za simu zinazotumika kufanya utapeli


1.VODACOM
Kama umetumiwa SMS ya kitapeli kutoka kwenye namba ya VodaCom.
Fanya hivi, ifowadi hiyo SMS uliyoipokea kwenda namba 15040.
Baada ya hapo utapokea maelekezo ya kuingiza namba ya tapeli na utaiingiza na kisha tutalifanyia kazi suala hilo baada ya uchunguzi wa namba hiyo.
 

Agogwe

JF-Expert Member
Feb 20, 2013
2,155
2,000
Screenshot_20210314-113743.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom