FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

Hivi huyo Carmo Carlhinhos vipi kiwango chake ,naons siku hizi anaanza anza sana first Eleven???
 
Shikalo kiwango kimeisha. Hii ni mechi ya pili mfululizo anafungwa goli nje ya 18! Yanga iangalie namna ya kutafuta mbadala wake.

Kuna magolikipa wengi sana wazawa, wa bei nafuu na wanao mzidi kiwango Farouq Shikalo kwa mbali. Naamini viongozi wanapitia humu. Fanyieni kqzi huu ushauri wangu.
 
Back
Top Bottom