FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Mzee wetu mzee mpili asafirishwe kwenda kigoma tarehe 25 akashuhudie mtanange
Hivi na yule mshabiki wa mbumbumbu fc aliyetembea kwa miguu kutoka huko Kigoma na tambo lukuki na kutishia watu wazima nyau, ameshaanza safari ya kurudi?

Au bado anashangaa flyovers?
 
Unachekesha sana, sio timu ya kuishinda simba na jana ilifanyaje?

Mikia ni mikia tu kama akili zao
Tuliwapa offer jana mpumue kidogo pia muongeze vipoint maana ubingwa ni wa simba sasa ya nini kutowapa ahuweni utoporo?

Furahini shangilieni kwa kupewa offer na Simba, ila ubingwa mtausikia kwa simba tu 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom