FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

ama kweli nyani haoni kundule
Simba wanatakiwa kuingia studio na kutoa kibao cha rose muhando nibebe remix hakuna haja ya wao kucheza soka maana wamejaza wakimbizi na wauza mkaa
Tuache hizo habari hazijengi kwa sasa tutampa lawama bure tu refa
 
Tuache hizo habari hazijengi kwa sasa tutampa lawama bure tu refa
muda mwengine kumbe akili huwa zinawarudi
Nasemaje rose aingie studio afanye remix na Mudi itakuwa ngoma kali huku prodyuza akiwa refa sanya..

Boonge la ngoma
 
Mimi ni simba damu damu
Lakini huu mtindo wa MO kuhonga marefa sipendi kiukweli
Hataki kukubali yanga wako vizuri zaidi yetu. Kwanza katuletea wachezaji wa bei rahisi..

Tarehe kumi na moja tunafungwa tena bila kuhonga hatushindi..
Acha unafki, we ni utopwinyo uliye kubuhu hakuna asiyejua

Afu yanga iko vizuri kwenye nini?
 
Kwani yanga huwa hawabebwi?
Hawatushindi sisi simba huwa tunabebwa mpka aibu yaani hata Rose muhando huwa habebi kama hivi yaani.
Ni wakati wa kumfukuza MO tutafute mfadhili mwengine huyu hafai anatuharibia simba yetu..
 
hii tuzo ilifaa apewe refa wa simba sio messi..
ff2c8ce2cf58850581b3215613522018.png
 
Mimi ni simba damu damu
Lakini huu mtindo wa MO kuhonga marefa sipendi kiukweli
Hataki kukubali yanga wako vizuri zaidi yetu. Kwanza katuletea wachezaji wa bei rahisi..

Tarehe kumi na moja tunafungwa tena bila kuhonga hatushindi..
Sasa kama unaona Simba haishindi si kwanini ukereke si uhamie utopolo
 
Sasa kama unaona Simba haishindi si kwanini ukereke si uhamie utopolo
mimi ni mwanasimba damu damu siwezi kuhama.

Lakini vitendo vya kihuni anavyofana MO wetu havitakiwi na anatakiwa afungwe jela.

Tunashinda mpira wa Rose muhando.

Yanga watatuzabua ata 5...
 
Sasa we unashinda kutwa unajadili threads za Yanga. Unakamia sana
Mimi, yanga kuna mayele na aucho

Ukitaka nisiletee shobo mechi hiyo basi watu wao wasiwepo kwenye kikosi

Mi ugomvi wangu ni hao tu, kwasababu wako midomoni mwa mashabiki wengi wa yanga na wanakuzwa sana
 
jana kuna errors zilikua zinafanyika pale sokoine na nilipojaribu kusema, mashabiki wengi wa yanga walinijia juu wakisema nateseka mara sijui naumia...

Vipi na wewe leo hii kwa hiki ulichokiandika nikikuambia una umia na kuteseka utachukuliaje?
Usichojua ni kwamba Mimi si Yanga. Tafuta Uzi wowote àmbao Yanga alibebwa kama Mechi ya Namumgo uone comment zangu. Ninachokikataa Mimi ni nyie mnaobebwa na ushabiki na kushindwa kusema ukweli.
 
Back
Top Bottom