FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

Miaka ya nyuma kuna jamaa aliwai kunichezea faulo ya kibwege timu ya mtaani.
Alikua anakaa mbele yangu ananipa mgongo alafu ananikanyaga kwa kisigino chake,ukipigwa mpira wa juu siruki wala sitoki pale nilipo,keshanibana na mguu wake kwa kunikanyaga,refa awezi kuona kwasababu yeye mcheza faulo yupo mbele yangu.

Kafanya kama marambili hivi ya tatu nilimpa kiwiko cha uso nikampasua,zikatokea vurugu kikanuka na mpira wenyewe ukaishia hapo hapo.

Kuna faulo mtani ni za kuudhi kama hii aliyofanyiwa Djuma Shaaban zinaamsha hisia kali kiasi cha ku-loose control.
Wakati nàtoa maoni humu nilisema, kungekuwa na VAR timu zote mbili zinhepoyeza Wachezaji.
 
Back
Top Bottom