Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,245
- 31,346
Maneno ya waliofeliMnapiga bomu mochwari
Maneno ya waliofeliMnapiga bomu mochwari
Kwa hiyo nyie mlipigwa na kinga?Underdog safari hii CAF mtapigwa miti bila kinga
Mwanamikia fc tuliza mzuka,subirini ubingwa mwingine miaka Saba ijayo🤸Goli la off side kabisa subilini mechi za CAF kama mtabebwa hivyo.Hovyo kabisa ligi la Bongo limeka kisiasa zaidi
Uto...wana nafasi ya kuweka rekodi huko CAF wakijipanga vizuri.Goli la off side kabisa subilini mechi za CAF kama mtabebwa hivyo.Hovyo kabisa ligi la Bongo limeka kisiasa zaidi
Hongera kwa ubingwa. Naona mnanyanyua twiga mwenye rangi nyekundu."Utaona Msimu Ujao, Utaona Msimu Ujao"
Hiyo Ndio Kauli Waliyobaki Nayo Saiv
Wakiwa Wengi Ni Wekundu Wa Msimbazi, Akiwa Mmoja Je? View attachment 2271903