FT: Ligi Kuu Bara | Singida Big Stars 0-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Liti

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea kupigwa leo September 9, 2022 ambapo Singida Big Stars walikuwa wakipepeta na Klabu ya Dodoma Jiji FC.

Matokeo ya mchezo huo ni kuwa Singida Big Stars Ulimi nje baada ya kubanwa mbavu kwa kulazimishwa sare ya bila kufungana kwenye uwanja wao wa nyumbani Liti Stadium.

FT: Singida Big Stars 0-0 Dodoma Jiji FC.
20220911_174432.jpg
 
Back
Top Bottom