FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Baada ya mwandishi nguli kabisa hapa bongo kutoa siri yenu na kutufungulia dunia tusiyoijua nilituma hapa uzi kulalamika mbona nyinyi na klabu mpo kimya kabisa na jana mmecheza chini ya kiwango labda kweli kama wanavyosema utopolo tarehe 8 walikuwa wanatupiga 3-0 probably ma goals yalikuwa yanapitia kwenu NASISITIZA KAMA MNATEMBEA BADO NA HELA ZA GSM RUDISHENI HARAKA SANA yaani jana sisi tulioangalia kwenye tv cheko la huyu kaburu lilitutia hasira sana kuna wakati alikuwa anaogopa na kutetemeka pale luis anapofanya mambo yake lakini nyie namba mbili na tatu mkifanya madudu yenu MLIMFURAHISHA SANA
NB:mkude punguza ujinga na pombe you were a waste of space hujui kukaba.

dharau.PNG
SHAFF8IH ZIMBE KAPOMBE.PNG
 
witch hunting on fleek.

acha hizo,anzeni kujipanga na mechi ijayo.

ahahaha
Yaani ni mchawi anatafutwa hadi apatikane tuhuma zina zaidi ya mwezi wamezinyamazia kimya tu siyo wao Kapombe na Zimbwe hadi klabu imekausha tu niliandika UZI HAPA NIKAWAONYA KWAMBA IIKITOKEA SIKU VS UTOPOLO WAKACHEZA MADUDU(UNFORTUNATELY YALITOKEA JANA) watazitapika hizo hela za pre contract
 
Adui Simba mtakie njaa ya magoli na hiyo ni furaha tosha kwa wana Yanga baada ya majonzi yao ghafla kugeuka furaha baada ya Simba kufungwa.
 
Back
Top Bottom