Frying pan za chapati nzuri

wadau wapishi habari zenu nilikuwa nauliza hivi frying pan za chapati zile zenye mishikio ya plastiki ngumu za dukani zipi imara hazishiki kutu halafu hivi haya makangio ya chapati yanaotengenezwa huku mitaani ya chuma tupu na haya ya dukani yapi mazuri kwetu sisi tunaopikia kila kitu kutumia gesi kasoro nyama na maharage nashkuru
Dah...
Kaa mbali na vyombo vya kupikia vyenye aluminium, bati, chuma (metali)ndani yake..ni sumu..visababishi saratani....
Hadi leo hii tafiti haziona nafuu yoyote kwa vyombo vya kupikia vyenye metali ndani yake...
Ni wachache watakujulisha hili.... matibabu ya saratani ni ghali...na vyombo vya kupikia vyenye metali ni ghali pia...
 
mkuu unataka tupikie vyombo gani hata sahani za plastic wanadai sumu,isoteshe chakula chenyewe ni sumu sasa hao wataalam wako wanasemaje suluhisho lipi
 
mkuu unataka tupikie vyombo gani hata sahani za plastic wanadai sumu,isoteshe chakula chenyewe ni sumu sasa hao wataalam wako wanasemaje suluhisho lipi
Dah...simpo sana...Rudi kwenye vyombo vya asili...vya udongo wa mfinyanzi na ceramic...japo vinatumia muda mrefu kupata joto...lakini ni salama na hutoa chakula chenye ladha nzuri sana.....uamuzi ni wako..
 
ww unapikiaga hivyo,huoni vyungu vinavyopasuka ovyo halafu sasa hao wazungu life expectance yao kubwa kuliko sisi lakini bado wanatumia hivi vyombo vya dukani
 
ww unapikiaga hivyo,huoni vyungu vinavyopasuka ovyo halafu sasa hao wazungu life expectance yao kubwa kuliko sisi lakini bado wanatumia hivi vyombo vya dukani
Dah...huu ndiyo upopoma ambao wengi tunao...kujilinganisha na wazungu kwenye matokeo....wakati hata hatujiulizi vitu vya msingi kabisa vilivyo katika namna wanavyoendesha maisha yao na desturi zao....inawezekana kwa sababu ya ugali...isiwe tabu...labda nikuulize mara ya mwisho kuangalia hali ya afya yako ilikuwa lini? na uliangalia nini?
 
Gesi ni efficient sana kuliko mkaa. Mkaa ni bei sana kwa sasa. Jaribu kufanya tafiti utaona. Mkaa huchafua nyumba na mazingira. Nunua pressure cooker kubwa na ndogo. Mm wali napikia pressure cooker nishati ikiwa na gesi. Nyama maharage na vitu vyote vigumu nachemshia pressure cooker. Nyama nachemsha kwa dakika 20, wali napika kwa dk 15, maharage nachemsha kwa dakika 25, ndizi napika kwa dk. 10. Tangu nimenunua pressure cooker na kulitumia nikiwa nipo mwaka wa kwanza hadi sasa nafanya kazi naona ubachela ni mzuri
 
Back
Top Bottom