britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,635
- 29,967
Nadhani tuwekane sawa naona kuwepo kipindi maalumu cha kuwapa mazoezi ya urais wanaochaguliwa, maana mtu akiwa waziri wa wizara fulani hata akiwa rais anadhani ye bado ni waziri wa sekta hiyo Hata hotuba zake nyingi zitajikita pale, na matatizo anayoshughulika nayo yatakuwa pale pale tu
Mheshimiwa Kikwete alikuwa waziri wa mambo ya nje baada ya kuwa rais alidhani bado ni waziri wa mambo ya nje akaendelea na utaratibu wake wa pipa kila siku, ametembea muda mwingi kuliko rais yeyote kuwahi kutokea yaan safari za pamoja za 2005-2010 za rais kagame ukijumlisha za Mseveni ukaweka za Joseph kabila ukamalizia kidogo za Uhuru kenyata Na Kibaki kwa muda huo ni safari 632 Lakini za kikwete tu zilikuwa 761 hatari sana
Mheshimiwa Magufuli ye kwakuwa alizoea ziara za kukagua bara bara Katavi, kigoma rusahunga, nyakanazi baada ya kuwa rais alitaka aendelee na ziara hizo za kutumia gari mkwara wa kwanza ulikuwa kwenda Dodoma kwa gari
mbali zaid anaingilia majukumu ya waziri wa ujenzi, yaan Mbalawa kafunikwa kabisa ni kama vile wizara hiyo haina waziri, kaendeleza pia kauli za kuvunja nyumba za watu yaan kauli ya kutolewa na waziri wa ujenzi ameziendeleza Magufuli
Jengo la TANESCO, alipaswa kuyafanya akiwa waziri wa ujenzi kubomolewa au kama sasa ni rais hayo yafanywe na Mbalawa
Pia kuna vikauli vya kuuza tena majengo ya serikali yaan yale yaliyokuwa yanakaliwa na wizara na ofisi mbali mbali za serikali ambapo watahamia Dodoma , nimesikia kwamba yatauzwa , haya inabidi yauzwe na waziri wa ujenzi kama waziri wa ujenzi wa kipindi cha mkapa alivyoyauza
hii inatupa Mahsaka kwamba mfano Mahiga wa Afrika mashariki akiwa Rais atatilia mkazo mambo ya kuungana na afrika mashariki kuwa nchi moja
Au Kigwangala akiwa Rais basi bajeti yote itahamia kwenye utalii na maliasili kwamba watatibiwa simba tu na nguruwe pori tu wakati mwanyamala hakuna madawa,
Au Nchemba akiwa rais basi atakaa kuboresha sare za askari magereza tu na polis bila kujali shughuli nyingine za kitaifa,
Au Mwakyembe akiwa rais itakuwa ni kuwataftia kina Diamond connections kwa Morgan heritage na Rick Ross
POINT NI KWAMBA RAIS AJUE MIPAKA YAKE NA AYATATUE MATATIZO GENERALLY ASIENDELEE KUJIONA NI WAZIRI WA WIZARA FULANI