From Zenj to Kigamboni

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Naweka baadhi ya picha baada ya kutoka Zenj, tumeweka kambi Kigamboni sehemu fulani yaitwa South Beach

i1609_DSC01252.JPG

Hapo tunavuka kuelekea South Beach Kigamboni

i1610_DSC01255.JPG

Duu jamaa hawa balaa kwenye parking pale South Beach wameweka mkwara huu...sikujali nikaweka Bajaj yangu vile vile!

i1611_DSC01257.JPG

Tulichukua moja ya room hapo kuendeleza malavidavi na Mzenj, tukichoka twaenda ogelea baharini ama kwenye pool.....South Beach poa sana!

attachment.php

Mandhali inalipa sana duuuuu!

i1612_DSC01258.JPG

Shida vicheche nao walikuwepo wakiwinda mimi nilikuwa kwenye ulinzi niliishia kula kwa macho....

More to follow.....
 
he!he!he!he!he!heeeeee.....hiki kijiwe lazima nimpeleke mwarau wangu huko! Kipo Kigamboni hiki mzee wa Kyela?
 
he!he!he!he!he!heeeeee.....hiki kijiwe lazima nimpeleke mwarau wangu huko! Kipo Kigamboni hiki mzee wa Kyela?

Kigamboni mazee....pazuri sana...hata habari za Kyela hapo unasahau. Ila misosi ni ya kihindi lazima ujiandae kula pili pili....
 
Kigamboni mazee....pazuri sana...hata habari za Kyela hapo unasahau. Ila misosi ni ya kihindi lazima ujiandae kula pili pili....
Mkuu hapo nimepakubali, lazima nitie maguu,pili pilik haina shida sana kwangu kwa sababu nilishakaa sana na WAPOPO(Wanigeria) kwani wanapenda sana pilipili. Asante mkuu
 
Mkuu hapo nimepakubali, lazima nitie maguu,pili pilik haina shida sana kwangu kwa sababu nilishakaa sana na WAPOPO(Wanigeria) kwani wanapenda sana pilipili. Asante mkuu

Kingine kule wanaenda wastaarabu maana kingilio chao kiko juu pia. Hutajilaumu mimi sikutegemea kukuta pwani nzuri hivi iko Tanzania na inatunzwa...
 
Kigamboni mazee....pazuri sana...hata habari za Kyela hapo unasahau. Ila misosi ni ya kihindi lazima ujiandae kula pili pili....
.....waarabu wanependa pilipili poa nitampeleka tu......ha!ha!haa ila mazee ulikula life........!
 
......ha!ha!ha!ha!ha!ha!......huyu wangu no no no .....niwa Igunga......may coz sio original....teheheneneeeeee!
icon10.gif

Hahahahah mzeee unafaudu nawajua hao unakuta toto leupe nywele nywele lakini anaongea Kinyamwezi, halafu huwa wamefungasha sana mizigo......! na shanga kiunoni hazina idadi
 
Hahahahah mzeee unafaudu nawajua hao unakuta toto leupe nywele nywele lakini anaongea Kinyamwezi, halafu huwa wamefungasha sana mizigo......! na shanga kiunoni hazina idadi

......hapo naona kuna koinsidensi.......! kitu kule downstairs.....kweuuuupeeeeee! daaah acha tu mzeee!
 
Hapo pahala ni pzuri mnoooooooooooo aisee,nami last May&June nilikuwepo hapo na Kabula wangu,pametulia aisee...Masanilo fanya unielekeze jinsi ya kuupload picha ili kama vp nami niweke zangu aisee(PM please)
 
....please fanya fasta uniongezea mizuka......!
 
Masa...Picha nyingine hizi hap..Nilipapenda sana mahala hapa..Yaani utadhani siyo Bongo aisee

i1614_Picture143.jpg

i1617_Picture136.jpg

i1615_Picture162.jpg

i1616_Picture166.jpg

i1618_Picture199.jpg
 
Max itabidi aje azipunguze, mwenye PM yake tafadhali mtumieni
 
Itabidi tarehe 14/2 nimpeleke Kabula wangu(bht) hapo kisha nitangazie ndoa hapo hapo kwa kumvalisha pete(kama nilivoahidi)
 
du kweli picha zinamvuto sana Masanilo
mie naomba niambie Room sh ngapi hapo nijipange sawasawa nikiwa vekesheni thiz year
 
Mkuu nishatia timu twice hapo South Beach si mchezo baba pametulia sana sana hapo, beach yao fresh kinomaaa
 
Back
Top Bottom