Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 1,902
- 2,731
ooh oky. So unaweza kunitajia hao spiritual guru??Ooh sorry..!huwa siitumii sana hata option katika simu ya kuifanya iwe active_siijui.!
ooh oky. So unaweza kunitajia hao spiritual guru??Ooh sorry..!huwa siitumii sana hata option katika simu ya kuifanya iwe active_siijui.!
Huwa sikumbuki majina_ila maandishi yao huwa yanaakisi ufahamu mwingiooh oky. So unaweza kunitajia hao spiritual guru??
Je ni vipi utatambua maandishi haya ni ya moja wapo wa maguru??Huwa sikumbuki majina_ila maandishi yao huwa yanaakisi ufahamu mwingi
ila unaweza kuuliza tena_ ni vipi utatambua maandishi haya ni ya moja wapo wa maguru.!?
Hayo maswali niliyo kuuliza naomba uyajibu.
Ni kweli ila sitafafanua na nakukumbusha kwamba kuna watu hawatawaliki.Usiniulize ni kwanini.Hawa hawaathiriki mkuu na hao wenye maguvu huwashindwa ila wapo wachache sana.Sitafafanua zaidi.human being ni source of energy....
we are not born but we are growing somewhere ....
Ukilijua hili ndo utajua kuwa haya maisha tunayopewa ni kukeep busy illusion tujue kuwa tunaadvance but we are growing somewhere ...
our mind interprete katika mazingira tofauti sana...ila kiukweli there is a purpose behind kwanini tupo hapa duniani...
you serve a purpose for beneficial purpose mkuu....
Ndani ya ulimwengu huu kuna maisha yanaendelea aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu tupe mambo aise tufungue akili....haya mambo inabidi kushare...you never know mtu mwingine atakuokoa kwa lipi huko mbeleni..Ni kweli ila sitafafanua na nakukumbusha kwamba kuna watu hawatawaliki.Usiniulize ni kwanini.Hawa hawaathiriki mkuu na hao wenye maguvu huwashindwa ila wapo wachache sana.Sitafafanua zaidi.
Mkuu ungefafanua tu. Au ukifafanua utaathirika kwa namna moja ama nyingine??Ni kweli ila sitafafanua na nakukumbusha kwamba kuna watu hawatawaliki.Usiniulize ni kwanini.Hawa hawaathiriki mkuu na hao wenye maguvu huwashindwa ila wapo wachache sana.Sitafafanua zaidi.
Watu wapo hata humu hawakubali mtu ajue kama wao.ni hatari sana hawa watu.Ila kuna falme aina tatu WACHAWI WA ASILI HAWA WA JADI WACHAFUCHAFU,WAFANYABIASHARA WAKUBWA WATAJIRIKAO KWA MAKAFARA,NA HAWA WA KIZUNGU MKIWAITA KAMA FREEMASON.MKUU WAO WANA MACHO MANNE NA HAWAKUBALI MTU MWINGINE AFUNGUKE MACHO HAYO.watakumaliza,shida yao wakigundua nguvu kubwa ya asili kuna mawili au matatu.watakuwinda kukumaliza ili waichukue,pili watakubembeleza ujiunge nao na au watakulazimisha.KUMBUKA TU KUNA WATU WANA NGUVU KUBWA ZA ASILI huWEZI kuwatawala wala kuwadhibiti.ILA KUNA VITU UKIVIONA WAWEZA KUFA KABLA.Mkuu ungefafanua tu. Au ukifafanua utaathirika kwa namna moja ama nyingine??
.
Kuna watu wanao ulimwengu kiganjani mwao tena washwahili tu.Kukusaidia naamini wewe ni mtu msomi na mdadisi sana kama hujawahi kufuatilia kuhusu kiti kinaitwa (MIZIMU)tafadhali anza kujifunza vizuri.Ni hapa ndipo muafrika alipoanza kuangukia.mkuu tupe mambo aise tufungue akili....haya mambo inabidi kushare...you never know mtu mwingine atakuokoa kwa lipi huko mbeleni..
Sent using Jamii Forums mobile app
duuh...mizimuKuna watu wanao ulimwengu kiganjani mwao tena washwahili tu.Kukusaidia naamini wewe ni mtu msomi na mdadisi sana kama hujawahi kufuatilia kuhusu kiti kinaitwa (MIZIMU)tafadhali anza kujifunza vizuri.Ni hapa ndipo muafrika alipoanza kuangukia.
Soma taratibu na ufuatilie
Some times nakuelewa sana bibiyeHawa jamaa miyeyusho sana,tatizo lao kubwa ni kukimbia maswali magumu.
Maswali yangu huwa hawayajibu sasa sijui ni ya kipuuzi hayana maana au magumu sana.
Ila tu nawakumbusha hawa jamaa Elimu haiongopi na huo msamiati wao mara Esoteric Knowledge mara Exoteric Knowledge mara Chakra (Internal Energy/Spiritual Energy) ni mambo madogo sana ambayo yote hukomea kwenye uongo,uoga na wasi wasi tele. Sasa msingi wa maswali yangu huwa nataka wawe wana yajibu ili tuwapeleke huko wanakotaka wao.
Asili ya hizo waziitazo hidden doctrines ni ujinga na mwisho wake huwapelekea kwenye ushirikina.
Hizi lugha zao huwa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi ili kuja kuwapiga watu wasio jishughulisha na elimu,ilo waweke matabaka yaliyo asisiwa katika uongo na ujinga,ili wawafanye watu fulani waonekane bora kuliko wengine kisa eti wana elimu zilizofichikana/elimu za siri/hidden doctrines/علم الباطن.
Hakuna binadamu katika uso huu wa dunia anaejua elimu ya mambo yaliyofichikana,Elimu hii hata mitume na manabii hawakupewa seuze hawa wasio jua kwanini kuna usiku na mchana au wasio jua ni zipi lazi za nyota.
Nimewakumbusha tu.
Naona nilichokiandika umekielewa.
Huu ukweli chukua "Tengeneza kiti chako kwanza kabla ya kukitia nakshi"
Amejifunga kwenye kuran akasahau katika kila ibada kuna siri na matokeo tofauti.ulimwengu ni mpana sana.Mkuu uislam haukufungi kutafuta maarifa mengine. Na ukiona hawakujibu si kwa kuwa maswali yako magumu bali unaongelea vitu ambavyo huna experience navyo. Kama hapo unazungumzia chakra ilhali inaonyesha hakuna unachojua kuhusu chakra. Huna experience ya hiyo knowladge sasa unategemea watu wakujibu nini mkuu?? Unasema ni ushirikina na naamini unajua kabisa shirk ni nini na inakuwaje mpaka unafikia hatua ya kuwa mushrik. Allah ana sema katika quran imma ushukuru ama ukufuru so watch out your intention katika kuyaende mambo. Nia yako na uelewa wako ndio unakuwa counted katika shirk.
Huyu jamaa anajichanganya sana anajiona muislam ni peke yake humu JF na yeye ndie anaeujua Uislam. Huyo hata ukileta mada inahusu technology lazima ataleta mambo ya Quran sidhani kama anaielewa vizuri hiyo Quran. Kila siku nasemaga hawa ni waislam jina tu wamezongwa na sifa waonekane wamesoma sana dini. Arudi madrasa tena akajifunze amtafute Qasim Mafta amfundishe taratibu za kufanya minakasha ya dini.Amejifunga kwenye kuran akasahau katika kila ibada kuna siri na matokeo tofauti.ulimwengu ni mpana sana.
Kumbe ni dada mi najua ni kidume mwenzetu.
Duh mzee baba umenichanganya kichwa yangu aiseeWatu wapo hata humu hawakubali mtu ajue kama wao.ni hatari sana hawa watu.Ila kuna falme aina tatu WACHAWI WA ASILI HAWA WA JADI WACHAFUCHAFU,WAFANYABIASHARA WAKUBWA WATAJIRIKAO KWA MAKAFARA,NA HAWA WA KIZUNGU MKIWAITA KAMA FREEMASON.MKUU WAO WANA MACHO MANNE NA HAWAKUBALI MTU MWINGINE AFUNGUKE MACHO HAYO.watakumaliza,shida yao wakigundua nguvu kubwa ya asili kuna mawili au matatu.watakuwinda kukumaliza ili waichukue,pili watakubembeleza ujiunge nao na au watakulazimisha.KUMBUKA TU KUNA WATU WANA NGUVU KUBWA ZA ASILI huWEZI kuwatawala wala kuwadhibiti.ILA KUNA VITU UKIVIONA WAWEZA KUFA KABLA.