Ahaa hapana SIJAWAHI,kufanya ila nimewahi shuhudia kwa macho yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliona mtu akibadilishwa kuwa kiumbe gani ?
Ahaa hapana SIJAWAHI,kufanya ila nimewahi shuhudia kwa macho yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ebu jaribu kutoka nje box, uiangalie dini kwa namna nyingine mana sio kila kitu cha kufuata
una ushahidi Gani kuwa ni kiini macho?Sababu kiini macho si sawa na UHALISIA.
Hili swali la msingi. Kufikiri nje ya box kukoje ?
Ni kupotosha ukweli au kufikiri kijinga au ?
Je ni upi uhusiano kati ya kufikiri nje ya box na kukosea ? Yaani je kufikiri nje ya box kume epukana na makosa au ?
Je ni upi ukomo wa kufikiri nje ya box ?
Hili swali natilia mkazo nilipoegemea,je unawezaje kuuelezea chanzo cha uhai nje ya box ?
Nipo....
Waislamu hawana mfano mzuri wa kuigaSolution: Islam.
Si kweli.Waislamu hawana mfano mzuri wa kuiga
sidhani uislamu kama ni chanzo kizuri cha suluhisho la matatizo
Heri ulivyojishtukiaHawa jamaa miyeyusho sana,tatizo lao kubwa ni kukimbia maswali magumu.
Maswali yangu huwa hawayajibu sasa sijui ni ya kipuuzi hayana maana au magumu sana.
Maajabu...! unawezaje kuwa uislamu bila ya waisilamu...!?Si kweli.
Isitoshe, sijaongelea "Waislam" nimeongelea Uislam.
Uislam ni mfumo kamili wa maisha na wanaofata mfumo huo na mafundisho ndiyo wanaitwa Waislam.Maajabu...! unawezaje kuwa uislamu bila ya waisilamu...!?
Unamaanisha nini unaposema mfumo kamili wa maisha ndio uislamu..?Uislam ni mfumo kamili wa maisha na wanaofata mfumo huo na mafundisho ndiyo wanaitwa Waislam.
Sidhani kama ulijenga hoja_wewe ulitoa hatma ya mambo yote kwamba suluhu yake ni uislamuHujajibu hoja yangu hapo juu, narudia...
Nipe mafundisho ya Kiislam ambayo unaona wewe kuwa si suluhisho. Japo moja tu.
Heri ulivyojishtukia
Mkuu ulishawah kujiulza kwa nini kuna dini nyingi? Ulishawah kujiulza kwa nini unaamini hapo ulipo ni sahihi? Ulishawah kujiuliza Kama hapo ulipo ni sahihi je vipi kuhusu hawa ambao sio Imani yangu?
Maswali ni mengi ya kujiuliza na kuuliza endapo ukiwa nje ya box
....
Unajitega mwenyewe_ hakuna mwenye mda huo wa kukomaa na maswali yakoHuo ulikuwa mtego mzee. Mjitusu mjibu maswali yangu muone.
Mkuu ulishawah kujiulza kwa nini kuna dini nyingi? Ulishawah kujiulza kwa nini unaamini hapo ulipo ni sahihi? Ulishawah kujiuliza Kama hapo ulipo ni sahihi je vipi kuhusu hawa ambao sio Imani yangu?
Maswali ni mengi ya kujiuliza na kuuliza endapo ukiwa nje ya box
....
Unajitega mwenyewe_ hakuna mwenye mda huo wa kukomaa na maswali yako
wala hawapo mbali sana na kile mlichoaminishwa ila sema kongwa la marabi wenu ndio tatizo_na kwakuwa waislamu wengi kwa asili wanachukia kingereza yaani inakuwa tabu tupu
Hapo kaka kiingereza sio kikwazo mzee na tunasoma vitabu vya kiingereza kama kawaida,ila kuna lugha bora kuliko nyingine na hili halikwepeki.
Siwezi kujitega mwenyewe katika hili,sababu ninajua nini ninacho kimaanisha na kama ukijibu nina jua wapi pakukumata.
Nipo ....
Waislamu hawana mfano mzuri wa kuiga
sidhani uislamu kama ni chanzo kizuri cha suluhisho la matatizo
Umejisahau uliposemaa haya...Unamaanisha nini unaposema mfumo kamili wa maisha ndio uislamu..?
Ninachofahamu mimi kuhusiana na uislamu na waislamu ni kupitia imani yao iliyojengeka katika kitabu chao cha Qur'an wanachokiamini na hadithi pamoja na sunna zao_au uislamu unamaana zaidi ya hiyo.?
Sidhani kama ulijenga hoja_wewe ulitoa hatma ya mambo yote kwamba suluhu yake ni uislamu
Na kuhusiana na mafundisho yapi yanafaa na yapi hayafai ni juu yenu wenyewe waislamu na yeyote anayedai mafundisho yake ni sahihi au suluhu
Sisi watu wa kawaida huwa tunaangalia matokeo ya kile kilichopondikizwa kwa watu kinaakisi vipi kwenye uhalisia wa maisha ikiwemo faida na khasara
sasa katika yote hayo ndio nimefikia 'mimi' kuona kuwa uislamu haufai _labda uwe na maana nyengine zaidi ya hiyo juu ya uislamu
Nikakwambia: Nipe mafundisho ya Kiislam ambayo unaona wewe kuwa si suluhisho. Japo moja tu.Waislamu hawana mfano mzuri wa kuiga
sidhani uislamu kama ni chanzo kizuri cha suluhisho la matatizo