From the green world to a black world

REALITY

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
4,296
1,827
Habari wakuu,
Dunia ilipofika sasa ni kwenye stage ya "high manipulation zone" ni hatua ambayo wanadamu asilimia kubwa wako easily controlled na so called "hidden system" ambayo huona output zake na sio input zake.

Dunia ya sasa ni dunia ambayo walimwengu wako dependent kwa technology ilhali hawajui mwisho na hatima ya technology ni IPI,hawajui nini maana ya wao ,"humanity",ni masikitiko makubwa sana kuwa wanadamu wamekuwa kuku ambao wanafuata punje moja baada ya nyingine mpaka kwenye chumba cha machinjio na hakika watachinjwa wengi.

Green world ancestors or our fore fathers waliweza kuongea ama kusikia sauti za higher devine ila kwenye mwelekeo wa black world sauti imezima kabisa,watu wa zamani waliweza kuwa close na higher devine sisi sasa tumeachwa wenyewe.

Now tushaingia kwenye danger zone,ili uweze kuwa safi na salama you just have two ways,either uishi nje ya mfumo huu wa dunia ama ufe ukikataa mfumo dhalimu wa ulimwengu.


Media,security,sports,religion,science,food,drugs,drinks,love,sex,movies,cartoons,NASA,theology,education,economy,wars,governments,wealth,music and etc make the world meaningful according to some individuals but in reality these all are dots that create you,build you ,teach you,make you happy,install your belief,make you a slave and finally abond you forever .


Don't ask me how just try figure it out,nachoandika si sheria ila unaweza ukatafakari au kupuuzia ,Uhuru ni wako.

Ina maana gani Mimi kutokea ulimwenguni?Mimi ni nani au nini?kwasababu gani nipo?kwanini nife?je nimekuja kula ,kuishi na kufa au kufanya nini?kwanini tupo ili iweje,kwanini tuondoke INA maana gani??majibu unayo mwenyewe.

SAMAHANINI KWA LUGHA NILIYOTUMIA HUWA SIPENDI KUTOA HOJA KWA KIJIKO BALI KWA KUKUAMBIA TUMIA MKONO WAKO

ASANTENI



FB_IMG_15466790218320056.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Now tushaingia kwenye danger zone,ili uweze kuwa safi na salama you just have two ways,either uishi nje ya mfumo huu wa dunia ama ufe ukikataa mfumo dhalimu wa ulimwengu.


Media,security,sports,religion,science,food,drugs,drinks,love,sex,movies,cartoons,NASA,theology,education,economy,wars,governments,wealth,music and etc make the world meaningful according to some individuals but in reality these all are dots that create you,build you ,teach you,make you happy,install your belief,make you a slave and finally abond you forever
New World Order. Tumekua wafuasi na waumini wa number na technology. Sasa hivi binaadamu hatuli vyakula vya asili, hatujitibu kwa dawa za asili, hatunywi maji ya asili n.k, matokea yake kidogokidogo binadamu anaacha kua wa asili bali anageuka kua ARTIFICIAL BEING kuanzia kwenye miili na maumbo mpaka ufikiri wetu
 
In short mkuu merely 90% tiyari tushaevolve in artificial being ,wanadamu wa sasa hawahoji chochote kazi yao ni kupokea na kutekeleza
New World Order. Tumekua wafuasi na waumini wa number na technology. Sasa hivi binaadamu hatuli vyakula vya asili, hatujitibu kwa dawa za asili, hatunywi maji ya asili n.k, matokea yake kidogokidogo binadamu anaacha kua wa asili bali anageuka kua ARTIFICIAL BEING kuanzia kwenye miili na maumbo mpaka ufikiri wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom