From Mhimbili: 100,000 kila daktari wa kijeshi anaposaini, usafiri wa kurudi nyumbani nakuja ofisini

wale wa jeshini wanalipwa na JWTZ mwajiri wao, kwa hiyo wana haki kupata marupurupu yao kama vile mikataba yao inavyosema na hawa wa kwetu wanalipwa na serikali ambayo tumeshaambiwa madai yao yanashughulikiwa.

Msiniulize kwamba serikali ina bajeti ngapi, hilo swali muulizeni waziri wa fweza.

Hizo pesa za jeshi ni zetu pia... kodi zetu
 
mi' napenda kweli watu wa mjini mnavyopata raha... kwa kila jambo... lakini wanaomiliki hopitali ya muhimbili ndio wakati muafaka wa kufanya matengenezo... ili mambo yakiisha kuwa kunahuduma na mzingira mazuri... Au sio jamaa?
 
Kwa wale madaktari wooooote mabingwa na wasio mabingwa nafikiri mna enjoy sana huko kwenye VIOSK vyenu sasa hivi.........nawatakia kila la kheri pengine ndio mtaongoza mageuzi ya Tanzania na kuandika historia mpya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom