From Jambo to Jamii Forum... Ni kweli?

Mijitu mingine bwana??
Habari wanaJF, nimeambiwa kuwa zamani Forum hii ilikuwa inaitwa Jambo forum na ikafungwa na serikali na ikabadilishwa kuwa Jamii forum ambayo mpaka sasa tunatoa mawazo yetu tukiwa huru. Hii ni kweli jamani? naomba mawazo yenu mnipe historia ya JF. Nawasilisha!!
 
Mmmh,

Kumbe watu mnakuja hapa na yenu vichwani sio kupata info?

Lol

Mambo gani tena Utamaduni? hebu fafanua zaidi. au wewe kufahamu historia ya jamii forums huoni kama ni vyema? Binafsi nimefurhaishwa na Ufafanuzi uliofanywa na Kichuguu.
 
Asante mkuu Kichuguu. umeokoa jahazi. Mi naomba unielimishe kuna jamaa anatumaga message anajiita feedbliss jamii forum ni mtu au cheo?? Tafadhali wakuu nielimisheni
 
Ukitafuta maana ya neno JAMII ndio utajua hili neno lilitoka wapi.
 
This is great. nimefurahi sana kwa huo ufafanuzi. Kumbe Lissu kaanza harakati long time sana. Sasa tunajiandaaje kama ikitokea mafisadi wakiingilia huu mtandao na kutaka kuufunga? si mnakumbuka jinsi walivyofanya mpakq magazet yaliyokuwa moto kwao kama MwanaHalisi mpaka yakafungwa?

Njia ya kufanya kwa kujiandaa na tukio lolote kama lililotokea kwa Jambo forum ni kuwa na invisible backup server known to invible only, unless kama naye atavamiwa. But if we have two or three invisibles in different locations unknown to each other tutaweza kushinda.
 

Njia ya kufanya kwa kujiandaa na tukio lolote kama lililotokea kwa Jambo forum ni kuwa na invisible backup server known to invible only, unless kama naye atavamiwa. But if we have two or three invisibles in different locations unknown to each other tutaweza kushinda.

That is great..kama tukiwa na mkakati huo wa kuwa na Ma-Invicibles basi twaweza kufanikiwa kudhibiti mipango ya mafisadi.
 
ahhaaaaaa !! LOL eti mnasema mwenye JF ni nani? leo nimefurahi saaaaaaaaaaaaaaaaana!
 
Back
Top Bottom