From IGUNGA MKAPA ASUBILIWA KWA HAMU KUBWA

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Kweli ingunga kuna mambo wakazi wa igunga na vitongoji vyake wametanda barabarani
kumsubiri Rais mstaafu Benjamini mkapa kufungua mkutano wa ccm

Shughuli zote za kazi na biashara zimesimama kwa muda

Nitawawekea updates za picha soon bado watu wanakusanyika

Updates....................

Mkapa alivyopokelewa jana

4.jpg


6.jpg
 
mkuu unafikiri ni kwa nini wanafanya hivyo??wanampenda sana au wanamweshimu sana??au ni chama?
 
Sawa endelea kutujuza mkuu, nahisi CCM watavuna aibu hapa...ngoja nisubirie update
 
Kweli ingunga kuna mambo wakazi wa igunga na vitongoji vyake wametanda barabarani
kumsubiri Rais mstaafu Benjamini mkapa kufungua mkutano wa ccm

Shughuli zote za kazi na biashara zimesimama kwa muda

Nitawawekea updates za picha soon bado watu wanakusanyika

Ugua pole vp wamevalishwa? Namaanisha khanga,kofia,tshirt
 
Ana uhuru wa kuamua ni vazi gani avae ila hata hivi mkapa hii serikali inamdharirisha sana.....hatakiwi apelekwe pale maana yeye alifanya mazuri sana kuliko MAGAMBA ya leo. wamekosa mtu wakupeleka hadi wanamdharirisha namna hivyo.

Najua hata yeye angeulizwa vizuri ni mwana CDM damu damu
 
Nadhani atapendeza kwelikweli...iwapo atavalia mikufu ya dhahabu yote aliyopokea akiwa Ikulu kama zawadi kwenye taasisi hiyo ya urais!!
 
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=36836&amp;stc=1" attachmentid="36836" alt="" id="vbattach_36836" class="previewthumb" /> Unasemea hii ngoma hapa? Anaipenda CDM kimoyo moyo mzee wa Utandawazi na Privitization.
<br />
<br />
mbona watu wachache hvyo?
 
watu wanazidi kujikusanya
<br />
<br />
hahahahah wanajikusanya kama inzi wanavyozingra mavi si wanaona hapo kuna uozo,nikivuta taswira na mze ben alvyo mnene hadi macho weng watakuwa wanaenda kushangaa ki2fe cha m2.
 
Back
Top Bottom