MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,992
- 10,497
ni gharama ndogo sana hiyo ukizingatia unachoenda kujadiliana kinaweza kukupatia zaidi ya hiyo mara 10000.Mkuu kiingilio hapo ni $2000+. Sasa hiyo hela ni zaidi ya millioni 4 si bora ufanye biashara. Kampuni ya oil and gas ya kitanzania ipo. Inaitwa swala oil and gas. Au umesahau?
tumia pesa upate pesa zaidi. hayo ni mawazo ya kibahili na hutaweza kuendelea ukiichungulia sana