Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,442
- 113,451
Wanabodi,
Leo nimepata fursa ya kuhudhuria kongamano la pili la Oil and Gas linalofanyika hapa Hoteli ya Hyatt, Kilimanjaro, ambapo mgeni rasmi ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kasim Majaliwa, anayewakilishwa na Waziri January Makamba, (kufuatia ajali ya MV Nyerere, kumeitishwa kikao cha dharura cha Cabinet).
Kitu cha kwanza ku note, hapo mwanzoni mwa mkutano, wajumbe wazungu walikuwa ni wengi zaidi kuliko wenyeji, kitu kinachoashiria sisi Watanzania, ama bado tuko nyuma katika kuchangamkia fursa za uchumi wa gesi, na bomba la mafuta, ama mambo ya uchumi wa Gesi ni mambo la level ya juu sana, not reachable kwa Watanzania walio wengi, ndio maana hata kwenye vitalu vyote vya gesi, hakuna hata kitalu kimoja kinachomilikiwa na kampuni ya Kitanzania!. Lakini kwa kadri mkutao ulivyoendelea baadae Waswahili wakaongezeka, hivyo by the time mkutano unamalizika, angalau Waswahili walikuwa wengi wa kutosha, ila the supremacy ya wazungu katika oil and gas dunia nzima ni unmatched!, hakuna hata kisima kimoja cha gesi na mafuta duniani kinachomilikiwa na ngozi nyeusi!, hata tajiri wetu No. 1 barani Afrika, Aliko Dangote, hajathubutu kupenyeza hata pua kwenye sekta ya mafuta na gesi!, ni wazungu tuu!, sababu ni moja na very simple!, we are just too poor kuchimba gesi yetu na mafuta yetu, hivyo tunajikuta ni lazima tuwategemee wazunge wenye mitaji minene!.
Thanks God kwa serikali awamu ya 5, imebadili sheria na kulazimisha local content, yaani kila mwekezaji katika mafuta na gesi, lazima aachie umiliki wa asilimia 25% kwa wazawa. Sheria hii itakapoanza kutekelezwa, amini usiomini, kuipata hiyo 25% ya thamini ya kitalu cha gesi!, hata Reginald Mengi, atasubiri!. The only way kwa Watanzania kumiliki uchumi wa gesi upande wa upstream ni kwa kuunganisha nguvu, mifuko yote ya hifadhi ya jamii, mabenki yote na matajiri wote, tuchangishane ndipo tuweze, vinginevyo tujikubali tuu katika upstream, sisi tuwaachie wenye uwexo na kubaki watazamaji tuu, na nguvu zetu tuzielekeze kwenye downstream only!.
Mkutano umeanza kwa one minute silence kuwakumbuka wahanga wa ajali ya MV Nyerere.
Ratiba ni hii
08:20 Welcome Address
08:30 Ministry of Energy Address: Outlining the Vision for Tanzania's Industrialisation Powered by Oil & Gas
08:45 Official Presidential Address
09:00 Sponsors Welcome Addresses
09:20 Session 1: Ministerial Session Opening Remarks
11:30 Session 2: Oil & Gas Latest Developments in Tanzania: Government & Industry Collaboration to Move the Projects Forward
14:15 Session 3: Project Spotlight: East Africa Crude Oil Pipeline (EACOP) - The Pipeline's Strategic Importance to Tanzania & the Region
16:00 Session 4: PANEL DISCUSSION: Creating a Robust & Investor Friendly Business Environment in Tanzania's Oil & Gas Projects
17:30 End of Congress Day One
Congress Day Two - Tuesday 25 September (Location: Mezzanine Floor)
09:00 Session 5: PANEL DISCUSSION: Attracting Investment to Upstream E&P Projects in Tanzania & Around the Globe
11:00 Session 6: Gas Monetisation as a Force to Power Industrialization & Economic Development
14:00 Session 7: PANEL DISCUSSION: Local Content & Job Creation Ensuring a Sustainable Development in Tanzania's Oil & Gas Projects
15:30 Session 8: Downstream Projects & Infrastructure Development in Tanzania
17:00 Session 9: Tanzania Oil & Gas Congress Closing Remarks & Official Conclusions
18:00 End of Tanzania Oil & Gas Congress 2018
Nimeperusi kwa haraka haraka sura za wale top ten wafanyabiashara mabilionea wa Tanzania, sikufanikiwa kuziona, ila kwa vile nimetokea airport kuja hapa ukumbini, pale Airport nimeshuhudia ndege za private Jet, zaidi ya 5, zimewaleta mabilionea kutoka sehemu mbalimbali duniani akiwemo bilionea mmoja mkubwa sana kutoka Arabuni.
Kitendo cha ushiriki mdogo wa wazawa katika makongamano kama haya, ni uthibitisho wa kuhitajika elimu ya uhamasishaji zaidi kwa Watanzania wazawa, tuchangamkie fursa za uchumi wa gesi na bomba la mafuta la Uganda.
Karibuni sana.
Paskali
Final Updates.
Mkutano umemalizika, kwa vile umeendeshwa kwa lugha ya Kiingereza, nitawawekea baadhi ya presentations.
Ila pia nimefanya interviews za one on one na watu wafuatao kuhusu hoja mbalimbali za mafuta na gesi.
Asanteni kwa kuufuatilia mkutano huu

- Waziri wa Nishati na Madini, Dr. Kalemani kuhusu policy issues
- Waziri wa Mazingira, January Makamba atatoa Statement ya Waziri Mkuu.
- Waziri wa Nishati wa SMZ
- Waziri wa Nishati wa Uganda.
- Mkurugenzi Mkuu wa TPDC kuhusu ugawaji vutalu vya gesi kwa wazawa
- Mkurugenzi Mkuu wa TIC kuhusu mazingira ya uwekezaji Tanzania kwenye sekta ya mafuta na gesi
- Mkurugenzi Mkuu wa PURA, hawa ni regulator wa Upstream
- Mkurugenzi wa Ewura, hawa ni regulator wa Downstream
- Mkurugenzi Mkuu wa EPZA kuhusu mchango wa gesi kwenye EPZ.
- Mkurugenzi Mkuu wa Bandari kuhusu uwezo wa bandari zetu kuihudumia sekta ya mafuta na gesi.
- Taasisi ya Sekta Binafsi
- Mwakilishi wa Equinor kuhusu uwekezaji kwenye sekta ya gesi
- Ma boss wa kampuni ya Total wanaojenga bomba la mafuta
- Mwakilishi wa Shell, walioinunua BG.
Asanteni kwa kuufuatilia mkutano huu
Paskali