From Hyatt Regency, The Kilimanjaro: the 2nd Tanzania Oil & Gas Congress. Wazungu Wengi Kuliko Wenyeji!

Mkuu P,kimsingi sijakataa kutoa elimu ya PPP bali nilishangazwa na hiyo miradi ya oil na gesi ya aina ya PPP ambayo ndio niltaka kuona ikoje ndio nami niweze kutoa elimu ya PPP kwa ujumla wake mkuu
Haya Mkuu Makupa, kumbe unasubiri kuiona hiyo miradi ya PPP ndipo utoe ulichonacho, then endelea kusubiria na utasubiri sana!.
P
 
mabilionea wa kitz kwa sasa hawana pesa ya kubet mech za ndan bro
Ujinga mtupu wazungu wanaaja wengi sababu wengi ndio wamiliiki was makampuni ya nafuta na gesi .Sisi waswahil twende kufanya Nini wakati hatuna hisa kwenye hayo makampuni?
Kupata Watanzania wengi matajiri sio rahisi tusiporuhusu watu kununua hisa na kuuza kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia huzalishwa kwenye hayo masoko

Pia Kuwezesha nchi kuwa na pesa nyingi za kigeni badala tu ya kutegemea mauzo ya mazao ya korosho sijui dengu na mazao mengine ya mashambani yanayotegemea Hali ya hewa

Kwenye hayo masoko ndiko kwenye mikampuni mikubwa Duniani inayoongoza kupata faida ambayo huuza hisa na kununua yakiwemo hayo ya nafuta na gesi

Bila Tanzania kuwa active kwa Watanzania kushiriki biashara ya hisa ya kimataifa umaskini utaendelea

Serikali haiwezi kujifanya ohh watanzania wavivu hamchangamkii fursa Tena ikome isirudie kuingea hivyo

Ruhusuni watanzania kununua hisa za makampuni ya mafuta na gesi madoko ya hisa ya kimataifa muone mkiita kongamano lingine la mafuta na gesi muone jinsi waswahili ngozi nyeusi watakavyojaa

Serikali inamnyima fursa ya kununua hisa halafu inaanza kujebehi kuwa watanzania hawachangamkii fursa!!!! Ni Nini hicho?
 
Hata hao wazungu hawana mitaji wanacheza na Mabank ka ma ambavyo hawa unaowaita wauza soda walicheza wakaazisha viwanda vya soda sasa walitaka kucheza na Mabank wawekeze pia ktk gas. Wewe baki na ujinga wenu wa asili mtaishia kulalia uji wa ndimu hadi kufa.
Hawachezi na mabenki sio kweli mitaji huwa makampuni hayo yanapata kwenye masoko ya hisa ya kimataifa
 
Mitaji mikubwa tunayo??? Oil & Gas Investment isn't a joke !!!!
Wao wanaweza sababu mitaji wanapata masoko ya hisa ya kimataifa hata Sisi twaweza miliki hayo makampuni tukiruhusiwa kunua hisa masoko ya kimataifa tukamiliki sehemu ya hayo makampuni kule kule kule kwao.
Hivyp yakija kuchimba Tanzania Ni Sisi wamiliiki pamoja na wamiliki wenzetu wa hisa wa nchi mbali mbali duniani tunachimba

Tuporuhusu Hilo ina milele wao ndio watakuwa na uwezo Sisi tutabaki watazamaji forever
 
Back
Top Bottom