From #HapaKaziTu to #HapaKaziKweliKweli

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Dec 12, 2007
1,117
4,764
Serikali ya Jiwe inaweza kuingia kwenye rekodi ya Guinness kwa vimbwanga. Mara DED kaingia kanisani na kumtwanga mtu risasi. Mara DSO kakunjana na DED. Sasa hawa akina mama wanashindana kwenye ushirikina.

Waziri Mkuu awaonya DC na DED 'wanaorogana' - JamiiForums

Tatizo ni kwamba hizi nafasi za u-DC, DED, nk zimejazwa na aidha makada wa Magamba, watu wa kitengo au "Kanda Maalumu."

Yajayo yanatafakarisha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja mmeishiwa mnabaki kufanya siasa za matukio poor chadema poor upinzani kwa moto wa magufuli kasi imewashinda mmekalia mipasho
 
Chahali umechoka sasa, unajua JF inaonesha mtumaji au mwandishi was post, sasa hapo zamani ilikuwa ukiona chahali unaikimbilia, lkn naona as time goes huna tena vyanzo vya habari kitengoni, umebaki kuunga unga kwa staili ambazo yeyote anaweza.

Lkn kama hiyo haitoshi umeanza kuleta heading na content tofauti. Kutulia pia no utu uzima kuliko huu Uzi
 
Mimi nashauri kiwepo kitengo maalum cha Mchawi Mkuu wa Serikali ili shutuma hizi za Kulogana ziwe zibapatiwa Ufumbuzi kama iluvyo jamhuri ya Benin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom