From div 0 to hon eac;maisha ni juhudi tu jamani kufeli shule si kufeli maisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

From div 0 to hon eac;maisha ni juhudi tu jamani kufeli shule si kufeli maisha

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Pdidy, Apr 17, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  Pengine wewe ni mmoja wa wenyeji wa div 0 ama 4 za mwaka huu
  nakupa nguvu wapo waliopata kama wewe wakarudia mitihani
  leo ni wabunge wa eac..

  Napenda kukwambia kufeli shule mara aya kwanza si kufeli maisha upo na nafasi ya kutulia na kusome urudie mitihani aijalishiumesoma mazingiriaa gani..na wala kufeli kwako sii misumari bali ni moja ya matokeo ukiwa uwanja wa mpira kuna kufungwa na kushinda ama draw ila kwenye shule draw aipo \
  so jitahidi soma soma soma aiajalishi utakwama wapi komaa...leo naenda kugonga glass na hon
  mungu akupenguvu naamini yule .....utompa nafasi tena akuharibie maisha yako
   
 2. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Onesha mfano mkuu..
   
 3. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  no evidence no right to talk.
  tupe evidence ya hili.
   
Loading...