From Diamond Jubilee: Rais Kikwete aongea na Wazee wa Darisalama!

Mkuu Mkandara, "the end justify the means!". Kila mtu amejaliwa kipaji chake, mafanikio ni kutumia kipaji chake and make the best of it to achieve your goals. JK is the best kwenye kipaji hiki!. Hiki ndicho kilichoifanya CCM impitishe!, inaitwa sifa ya "kuchagulika", Watanzania tumemchagua JK kwa kishindo kwa sifa hii!. Then let him use the best of what he can, as long as ameachieve his goals!. Mgomo umeisha na leo amewashitakia madaktari wagomaji kwa wananchi, wakigoma tena, Watanzania hawata waelewa!. Nani mshindi kati ya serikali madaktari?. Tafuta "Readers Digest" usome "laughter the best medicine" utanielewa!.

Kama kicheko ni dawa, JK is very right kutumia dawa hii kuutibu ugonjwa wa migomo!. He used his good sense of humour ku defuse the tension na ku heal the wounded!.
Hongera JK kwa hili na hongereni madaktari kumaliza mgomo kwa tiba ya charm!.

kipajiunachokisifia kingetumika awali kabla ya safari
ya davos hapo ndio kingekuwa tija. kukisifia saa hizibaada ya
watanzania kupoteza maisha ni kutonyeshana vidonda tu.
 
5000 a year? You must be kidding.
Are we gonner train these Doctors or MANUFACTURE as Kikwete said before???

Huyo Ulimboka ndio kashika vichwa vya madaktari aisee,jamaa hawafurukuti sijui wanamlipa sh ngapi kwa kuwaendeshea mgomo?

Haahaha lakini madaktari wetu wanachekesha sana milioni 7? Na waziri tutampa sh ngapi? Katibu mkuu? Au kwakuwa wao wenzetu ni watu spesho? Ngoja UDOM ianze kutoa madaktari 5000 kwa mwaka watashika adabu!
 
Kuna kupewa nauli mkutano ukiisha.
Safari hii watadai nauli mara mbili za ule mkutano wa mwanzo alioairisha.
Wale wenye kulialia zaidi watapewa zaidi au hata kununuliwa beche-mpunga.
Wswahili kwa Mpunga,Masikio kama punda.

Anawatumia kama NOTICE BOARD-haina akili ya kuhoji kilichobandikwa!

Hivi hawa wazee huwa wanakuwa mobilized vipi ili kuhudhuria hii mikutano?
 
NI LINI IDDI SIMBA ALICHAGULIWA KUWA KIONGOZI WA WAZEE WA DAR nimeuliza tuuu?:couch2:
 
niliangalia karibia hotuba yote.

Binafsi niliona ni zile siasa uchwala kama alivyowahi kuziita mwenzao mmoja, hakua sehemu kulikokuwa na maamuzi ya aina yoyote bali JK kuonyesha 'hana imani' na waandishi wa habari kwa kuamua kusimulia mlolongo wote ulivyoenda wakati magazeti, tv, radio na mitandao vilishaeleza (vilieleza) kila kitu.

Nilichoona na kama angeliomba ushauri kwa wenzie ni bora angelienda ITV kwenye kipindi cha DAKIKA 45 kama wenzie wengine wanavyofanyaga.
 
Back
Top Bottom