Fritz BOx 6810 LTE Router Required

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Jan 29, 2013
1,287
483
Hallo Wajameni. Kama kuna Mtu alinunua hiyo router hapo Juu kutoka Smile na Akaamua kuitupa Darini.

Naomba kumpatia taarifa kuwa, kama bado iko kwenye Hali Nzuri, nnaihitaji hiyo Router kwa Kiasi cha Tsh100,000/- Cash.

Tafadhali kama unayo, Ni-PM.

Thanks,
Nnawakilisha kwenu wadau.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom