Friji za kuchanganyia juice

diva48 tz

Member
Jan 28, 2014
33
1
habari wana jf
naomba kufahamishwa kwa yeyote anayefahamu zinapouzwa izi friji za kuchanganyia juice na bei zake tafadhali anijulishe.

Nawakilisha
 
Hivi ni fridge zile eeh, Zinauwa kariakoo karibu na stend ya kwenda Ubungo/kimara bei 800k kwenda juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom