D diva48 tz Member Jan 28, 2014 33 1 May 23, 2014 #1 habari wana jf naomba kufahamishwa kwa yeyote anayefahamu zinapouzwa izi friji za kuchanganyia juice na bei zake tafadhali anijulishe. Nawakilisha
habari wana jf naomba kufahamishwa kwa yeyote anayefahamu zinapouzwa izi friji za kuchanganyia juice na bei zake tafadhali anijulishe. Nawakilisha
Gamaha JF-Expert Member Jul 17, 2008 3,815 4,860 May 23, 2014 #2 Hivi ni fridge zile eeh, Zinauwa kariakoo karibu na stend ya kwenda Ubungo/kimara bei 800k kwenda juu
Hivi ni fridge zile eeh, Zinauwa kariakoo karibu na stend ya kwenda Ubungo/kimara bei 800k kwenda juu
D diva48 tz Member Jan 28, 2014 33 1 May 23, 2014 Thread starter #3 Gamaha said: Hivi ni fridge zile eeh, Zinauwa kariakoo karibu na stend ya kwenda Ubungo/kimara bei 800k kwenda juu Click to expand... thnx mkuu ila nshaziangaliaga pale ckuziona.ngoja nikazichek tena vizur
Gamaha said: Hivi ni fridge zile eeh, Zinauwa kariakoo karibu na stend ya kwenda Ubungo/kimara bei 800k kwenda juu Click to expand... thnx mkuu ila nshaziangaliaga pale ckuziona.ngoja nikazichek tena vizur
Gamaha JF-Expert Member Jul 17, 2008 3,815 4,860 May 23, 2014 #4 diva48 tz said: thnx mkuu ila nshaziangaliaga pale ckuziona.ngoja nikazichek tena vizur Click to expand... Waulizie huwa wanaweka ndani
diva48 tz said: thnx mkuu ila nshaziangaliaga pale ckuziona.ngoja nikazichek tena vizur Click to expand... Waulizie huwa wanaweka ndani
D diva48 tz Member Jan 28, 2014 33 1 May 23, 2014 Thread starter #5 Gamaha said: Waulizie huwa wanaweka ndani Click to expand... owkey mkuu
D diva48 tz Member Jan 28, 2014 33 1 May 24, 2014 Thread starter #8 PETEROPTIMIST said: zinaitwa juice dispenser mkuu Click to expand... owkey mkuu